Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipigo huathiri wanawake kisaikolojia

LICHA ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazowalinda wanawake lakini vitendo vya ukatili kwa wanawake vimekuwa vikiongezeka.Kuongezeka kwa vitendo hivyo kunachangiwa na kukosekana kwa elimu hasa katika baadhi ya maeneo ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: Vipigo kwa wanawake vikomeshwe

IMEKUWA ni kawaida katika nchi nyingi za Kiafrika na Asia kutokana na mfumo dume ambao umejikita hasa katika nchi hizi wanaume kuwapiga wake zao. Vipigo hivi huwa havichagui elimu, na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utelekezaji wa familia huathiri wanawake kiuchumi

KUNA sababu mbalimbali zinazoweza kumuathiri mwanamke kiuchumi, mojawapo ni vipigo wanavyopata kutoka kwa wanaume. Hali hii inaweza kusababisha unyonge kwa wanawake kushindwa kuwajibika hasa kwa kuwa ndiye nguzo ya familia....

 

11 years ago

Habarileo

Vipigo vyachangia wanawake kukimbia ndoa

VIPIGO ndani ya ndoa pamoja na udhalilishwaji ni mojwapo ya changamoto zinazowakabili baadhi ya wanawake na kulazimika kukimbia nyumba zao wengine wakiwa na watoto wao huku wengine wakiwaacha na baba zao.

 

10 years ago

Mwananchi

AFYA: Sumu huathiri waume, watoto wa wanawake wanaotumia mikorogo

>Nuru Masoud, mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, amekuwa akijishughulisha na biashara za vipodozi vya asili, maarufu kama mkorogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fistula inavyowaathiri wanawake kimwili, kisaikolojia

Jumamosi iliyopita ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya kuhamasisha mapambano dhidi ya tatizo la fistula duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,michezo huathiri ubikra wa wasichana?

Mwalimu mkuu wa shule moja amedaiwa kuwazuia wasichana katika shule hiyo kutoshiriki katika michezo kwa hofu kwamba huenda wakapoteza ubikira.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je ngono huathiri wachezaji uwanjani?

Kuna ushahidi finyu kuwa ngono inaathiri kivyovyote uwezo wa mchezaji uwanjani,sasa je kwa nini dhana hii haindoki vinywani mwa wengi ?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nguo za ndani za mitumba huathiri mifumo ya uzazi

MIAKA ya nyuma Tanzania ilionekana kama dampo la kuingiza bidhaa zisizo na ubora, hatua iliyosababisha baadhi ya wadau kulitupia jicho Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kuliamsha. TBS  iliyoanzishwa kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti: Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume

Utafiti uliofanywa nchini Denmark umeonyesha uzani wa mwanamume huathiri seli za mbegu za kiume na huenda ukachangia katika kuwafanya watoto wanaozaliwa kuwa wanene.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani