Utelekezaji wa familia huathiri wanawake kiuchumi
KUNA sababu mbalimbali zinazoweza kumuathiri mwanamke kiuchumi, mojawapo ni vipigo wanavyopata kutoka kwa wanaume. Hali hii inaweza kusababisha unyonge kwa wanawake kushindwa kuwajibika hasa kwa kuwa ndiye nguzo ya familia....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Vipigo huathiri wanawake kisaikolojia
LICHA ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazowalinda wanawake lakini vitendo vya ukatili kwa wanawake vimekuwa vikiongezeka.Kuongezeka kwa vitendo hivyo kunachangiwa na kukosekana kwa elimu hasa katika baadhi ya maeneo ya...
10 years ago
Mwananchi26 Sep
AFYA: Sumu huathiri waume, watoto wa wanawake wanaotumia mikorogo
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Siku ya Wanawake Duniani: Jinsi wanawake wa vijijini wanavyoweza kubadilisha jamii kiuchumi wakiwezeshwa
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Uzazi wa mpango utekelezwe na familia kwa vitendo, ili kustawi vyema na kuimarika kiuchumi
Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Singida, Aziza Mumba akikata utepe kuzindua nyota mpya ya kijani.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Aziza Mumba akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya nyota ya kijani kwenye viwanja vya peoples Mjini Singida.
Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Mussa Kimala akizungumza kwenye sherehe hizo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Martha Shekinyau akizungumza kwenye uzinduzi huo kwa niaba ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Munde kuwainua kiuchumi wanawake wajasiriamali
MAFANIKIO ya kiuchumi katika suala la kijinsia hutokana na kuwepo kwa elimu ya kujikomboa kwa wanawake na wanaume. Mbunge wa Viti Maalumu Tabora, Munde Tambwe, ni miongoni mwa viongozi wenye...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Kikwete ajivunia kuwawezesha wanawake kiuongozi, kiuchumi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Xxs7QLOXy2M/XmB7PmuvbbI/AAAAAAALhFk/M4HeSUYO6WQd86lHL85GIYDcvumLRAODgCLcBGAsYHQ/s72-c/14501c8f-7265-47ad-85d8-23b6035d2d91.jpg)
WANAWAKE WAKIWEZESHWA KIUCHUMI UKATILI WA KIJINSIA UTAKWISHA
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa Mkoani humo kuendelea kutenga asilimia 10 ya fedha za mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu na kuwaepusha na ukatili wa kijinsia.
Ametoa agizo hilo jana tarehe 04/02/2020 wakati akizindua Msafara wa Kitaifa wa kijinsia wa kutokomeza ukatili katika eneo la Ngaramtoni Mkoani Arusha.
"Tumeona njia moja ya kumsaidia mwananchi ni...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula
ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa. Fistula...
9 years ago
Vijimambo15 Oct
Amani na uwezeshaji kiuchumi vitainua wanawake: Pindi Chana
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Xx_QZPcexeSz-lYL3STUb5v3jXymjKx0RanzvChTIZB0Z0OS1KR0Hd-FkfgM5QU8E7Z3JO8f4BgurcXDVLVLcX_bvOERcKOCF6Hmq4-AUN5rGTm8W7M3VJUPqEVRMMZE7d8aqZBK=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/10/Chana.jpg)
Naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/video capture)Ulinzi kwa wanawake na uwezeshaji kuchumi ni muhimu katika ustawi wa wanawake amesema Naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa muda mfupi baada ya kuhutubia kikao cha baraza la usalama kilichojadili azimio namba 1325 kuhusu...