Waride: Acheni kuendekeza makundi
NA ALLY NDOTA, ZANZIBAR
KATIBU wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), Zanzibar wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Waride Bakari Jabu, amewataka wana CCM kutoendeleza makundi kwani kufanya hivyo ni kudhoofisha nguvu za Chama hicho.
Alitoa onyo hilo wakati akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu za Majimbo ya Mtoni na Magogoni, Wilaya za Kichama za Mfenesini na Magharibi, Unguja.
Alisema viongozi wa CCM katika majimbo yote visiwani hapa, waache kuendeleza makundi yaliyotokana...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Mbatia: Acheni kuendekeza ushabiki bungeni
10 years ago
Habarileo16 Nov
Bilal: WanaCCM acheni makundi
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameonya baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutotengeneza makundi yanayoweza kuleta mpasuko ndani ya chama hicho.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue
MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;
GROUP A;
Ufaransa
Romania
Albania
Switzerland
GROUP B;
Uingereza
Urusi
Wales
Slovakia
GROUP C;
Ujerumani
Ukraine
Poland
Northern Ireland
GROUP D;
Hispania
Jamhuri ya Czech
Uturuki
Croatia
GROUP E;
Belgium
Italia
Jamhuri...
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Utoro shuleni Bukombe 50% - Kuendekeza ngono, machimbo ya dhahabu vyachangia
Na Mariam Mkumbaru, Bukombe
MATARAJIO ya wazazi wengi ni kuona watoto wanapoanza shule wanahitimu masomo yao kwa kufikia ngazi za juu za elimu. Hata hivyo, matarajio hayo hayafikiwi katika maeneo mengi hapa nchini kwani watoto wengi hushindwa kuhitimu kutokana na tatizo la utoro.
Tatizo la utoro shuleni ni changamoto kubwa katika sekta ya elimu nchini kwani shule nyingi katika maeneo mbalimbali zinakabiliwa na changamoto hiyo. Miongoni mwa wilaya ambazo tatizo hilo ni kubwa ni pamoja na...
11 years ago
GPLSIMBA YALIMWA FAINI KWA KUENDEKEZA VITENDO VYA KUSHIRIKINA
11 years ago
Bongo Movies18 Jul
Mtunisi Awachana "LIVE" Diamond na Wema Sepetu kwa kuendekeza ‘mapenzi’ wakati wa mwezi mtukufu.
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Filikunjombe: Acheni kulalamika
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi na viongozi kuacha kulalamika na badala yake wachukue hatua sahihi kwa kila mmoja kuwajibika kwa nafasi yake. Filikunjombe alitoa rai hiyo jana...
11 years ago
Habarileo20 Jun
'Acheni kulipua matumbawe'
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imekemea ulipuaji wa mabomu katika matumbawe yaliyoko baharini kwani kwa kufanya hivyo kunaharibu uhifadhi wa samaki pamoja na kuharibu mazingira.