Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal: WanaCCM acheni makundi

Makamu wa Rais, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014. (Picha na OMR).MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameonya baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutotengeneza makundi yanayoweza kuleta mpasuko ndani ya chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Waride: Acheni kuendekeza makundi


NA ALLY NDOTA, ZANZIBAR
KATIBU wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), Zanzibar wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Waride Bakari Jabu, amewataka wana CCM kutoendeleza makundi kwani kufanya hivyo ni kudhoofisha nguvu za Chama hicho.
Alitoa onyo hilo wakati akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu za Majimbo ya Mtoni na Magogoni, Wilaya za Kichama za Mfenesini na Magharibi, Unguja.
Alisema viongozi wa CCM katika majimbo yote visiwani hapa, waache  kuendeleza makundi yaliyotokana...

 

11 years ago

Habarileo

Dk. Bilal- Ukawa acheni jazba

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewatoa hofu Watanzania wanaoishi nchini hapa kuhusu mvutano uliojitokeza katika Bunge Maalum la Katiba na kuwahakikishia kuwa ana imani litakapokutana Agosti mwaka huu mambo yatakwenda vizuri.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO MKUU WA WANACCM WILAYA YA ILALA JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika jana Oktoba 19,...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AHITIMISHA ZIARA YA KUTAFUTA WANACCM WA KUMDHAMINI MKOANI MOROGORO LEO, ADHAMINIWA NA WANACCM 104,038

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Fikiri Juma, pindi alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro, leo Juni 29, 2015 kwa ajili ya kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Innocent Kalageris. Mh. Lowassa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WanaCCM Mbeya watimkia CHADEMA

WANACCM zaidi ya 60 katika Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kujiunga kwa wanachama hao CHADEMA, kumemtia hofu mtendaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

WanaCCM Iringa Mjini watuhumiana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimeingia hofu ya kupoteza tena jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kama makada wake wataendelea kujikita kuwanadi watu wanaotajwa kugombea jimbo hilo, badala ya kukiimarisha chama hicho kwa kuelezea utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi.

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: WanaCCM jiandaeni kwa ushindi

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema CCM ni chama pekee nchini ambacho kimefanikiwa na kinaendelea kupanua wigo wa demokrasia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani