Mtunisi Awachana "LIVE" Diamond na Wema Sepetu kwa kuendekeza ‘mapenzi’ wakati wa mwezi mtukufu.
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
9 years ago
Bongo531 Dec
Wema Sepetu amdiss Diamond kwa namna isiyo rahisi kuijua!
![10570140_331847836939369_2031665733_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10570140_331847836939369_2031665733_n-300x194.jpg)
Si unajua kuna lile sakata la jina Simba ambalo Diamond amekuwa akilitumia na Mr Blue hivi karibuni kudai alilianzisha yeye?
Na sasa issue hiyo inaenda mbali zaidi. Wema ametumia Instagram kuingia pia kwenye issue hiyo katika njia ambayo inaishia kuwa dongo kwa ex wake.
“Watu walikuwa wanasubiria na mimi nitaje jina langu la mnyama… Mi ni Mnyama Ndio na Jina Langu ni WEMA SEPETU…. Gnyt Y’all…. Langu mwenyewe hilo…. Ila Balozi Kasema…. hihihihihi,” aliandika Wema.
Bila shaka bado hujaiona...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram
Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’. Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita […]
The post Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram appeared first on...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ktt5EQ2Y2yI/VME4Mt4epmI/AAAAAAAAAsE/R0J3lFVeMTE/s72-c/wema778.jpg)
Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ktt5EQ2Y2yI/VME4Mt4epmI/AAAAAAAAAsE/R0J3lFVeMTE/s1600/wema778.jpg)
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...
10 years ago
Bongo Movies08 Jun
Mapenzi Yamerogwa ya Wema Sepetu na Wakali Wenzake Imekufikia
Tujiunge na waandaaji wa filamu hiyo;
Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima....unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director Aunty Ezekile alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana.....utakipenda kipondo alichopewa Fontana na Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni...
10 years ago
Bongo Movies03 Nov
Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
5 years ago
MichuziRC SINGIDA ATOA FUTARI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA WAISLAMU
Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mbwana Mtingule (kulia) akimkabidhi viazi vitamu Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau vilivyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi kwa ajili ya futari ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu wa mkoa huo leo.
Viazi vya futari vikishushwa kwenye gari.
Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi ya Bakwata Mkoa wa Singida.
Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi...