Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Martin Kadinda Akanusha Habari ya Wema Kupeleka Diamond Polisi
Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with...
9 years ago
Bongo531 Dec
Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.
Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.
“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...
11 years ago
GPL
MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU
10 years ago
Bongo510 Oct
Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana
Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
11 years ago
Vijimambo
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

9 years ago
Bongo Movies20 Dec
TANESCO Wataja Deni la Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme!
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limemkaba koo staa maarufu wa Bongo Movies , Wema Sepetu baada ya kubainika kutumia nishati ya umeme kwa njia zisizo halali.

Wema Sepetu
Hivi karibuni TANESCO walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!
Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa...