Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu

wemaa na kadinda

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.

wemaa na kadinda

Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.

“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.

“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hii Ndiyo Mipango Mipya ya Wema Sepetu

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Wema Sepetu na Martin Kadinda

 

Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.

“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.

“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na...

 

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka


Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...

 

9 years ago

Raia Mwema

CECAFA inahitaji mipango mipya

PAMOJA na kuwa ni miongoni mwa mashirikisho makongwe barani Afrika, Kusini mwa Sahara, Baraza la

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Bongo Movies

Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala

Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.

Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.

“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi

Meneja  wa staa mrembo, mjasiliamali  na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa  ‘drama’  zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .

Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...

 

11 years ago

GPL

WEMA ATAJA MATUKIO ANAYOYAMISI KWA BABA’KE

Na Shakoor Jongo
MADAM, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amesema anakumbuka vitu vitatu muhimu alivyokuwa akifanyiwa na marehemu baba yake, Abraham Sepetu. Wema Sepetu. Akizungumza na paparazi wetu, Wema alitaja matukio hayo ambayo ni kuona simu ya baba yake ikimpigia katika simu yake, jinsi alivyokuwa akimbembeleza na kubwa zaidi ni uwepo wake pia kwa jumla.… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

Wema DimpozMANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani