Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

Wema DimpozMANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola

Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola .Leo hii waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole  nao waepokea zawadi  za vinywaji  hivyo vya coke baada ya kutembelewe na  wawakilishi kutoka  kampuni hiyo ambapo majina ya wasanii  hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya  vinywaji hivyo.

Jionee picha zao hapo juu

 

10 years ago

CloudsFM

Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

10 years ago

CloudsFM

SIRI ZA PICHA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZAVUJA

Wasanii wawili walio kuwa kwenye head line kwa kipindi cha muda mrefu hapa namzungumzia staa wa muziki wa Bongo fleva Ommy Dimpoz pamoja na Staa wa movie za kibongo Wema Sepetu hatimaye siri za picha zao zajulikana Ommy dimpoz asema picha hizo ambazo watu walikuwa wanazioni ni baadhi ya vipande vya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuutoa leo na ameomba mashabiki wajiandae kwa wimbo huo kwani maswali walio kuwa wanajiuliza watajipatia majibu kupitia wimbo huo wa WANJELA

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kunani kwani?

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wanazidi kuumizwa vichwa watu. Couples mpya ama ndio zile za project ziendelee? Yeah tunafahamu kuwa ushemeji hauna kikomo lakini hizi picha zinazoonekana ni kama zimevuka mpaka wa ushemeji. Maswali mengi kutoka kwa mashabiki wao ni kuwa ni kweli Ommy na Wema wameamua kuanzisha uhusiano licha ya ukweli kwamba Ommy ni […]

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY GIRL WEMA HII NDIYO ZAWADI YAKE KUTOKA KWA MR PLATNUMZ


Jitiririshe na surprise gift ya birthday ya Wema na utakubari mapenzi yao na Diamond ni Special given. Habari ndiyo hiii mambo mengine mwachie baba na mama na movie hii siyo ya leo wala kesho.

 

9 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE!!: Mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Idris wawakivutio kuapishwa kwa Dk.Magufuli

_MG_1256

Wema Sepetu (katikati), Idris Sultan upande wa kulia na kushoto ni Mh. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji wakipata picha ya pamoja katika jukwaa hilo la kulia ambalo lilikuwa maalum kwa wageni mbalimbali waalikwa na watu maalufu ndani na nje leo wakati wa tukio la kuapichwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli. 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[TEMEKE-DAR ES SALAAM] Wakati Watanzania na dunia nzima leo  Novemba 5, 2015)  imeshuhudia kuapishwa  kwa rais wa tano...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu aivaa jezi ya Michael Jordan (23), asherehekea Eid na shemejiye, Dimpoz

Wema Sepetu ni shabiki wa mchezaji wa zamani wa kikapu wa timu ya Chicago Bulls, Michael Jordan? Mapenzi yake kwa mchezaji kikapu huyo tajiri, yameonekana kwenye picha alizopiga wiki hii (kama sio Jumanne hii) akiwa amevaa jezi nyeupe ya Chicago Bulls yenye namba 23, namba aliyokuwa akitumia Jordan. Jezi hiyo imempenza zaidi Mrs Naseeb baada […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani