Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola

Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola .Leo hii waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole  nao waepokea zawadi  za vinywaji  hivyo vya coke baada ya kutembelewe na  wawakilishi kutoka  kampuni hiyo ambapo majina ya wasanii  hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya  vinywaji hivyo.

Jionee picha zao hapo juu

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Aunty Ezekiel na Wema Sepetu waungana kukuletea filamu ya watoto ‘Saa Mbovu’

Wema na Aunt

Baada ya urafiki wao kudaiwa kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, waigizaji wa filamu hapa nchini, Aunty Ezekiel pamoja na Wema Sepetu wanatarajia kuachia filamu ya pamoja iitwayo ‘Saa Mbovu’ itakayokuwa inazungumzia malezi ya watoto.

Wema na Aunt

Akizungumza na Bongo5 jana, Aunty ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, alisema wakati wa ujauzito wa mwanae alishauriana na Wema kuandaa filamu itakayozungumzia jinsi ya kumlea mtoto.

“Wakati tunafanya hiyo filamu mimi tayari...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande

Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.

Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema  Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho  ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Atoa Baraka kwa tumbo la Aunty!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu  ame-share nasi picha kadhaa akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji  Aunty  Ezekiel ambae kwa sasa ni mjamzito na karibu kujifungua.

Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki  wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

Wema DimpozMANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

 

9 years ago

Mtanzania

Mourin kuwafungia kazi Wema, Aunty Ezekiel

shostNA HUSSEIN RAMADHAN, TSJ

MSANII anayefanya vizuri katika filamu nchini, Mourin Joseph ‘Mourin’, amepanga kuwafunika baadhi ya wasanii ambao wanafanya vizuri kama vile Wema Sepetu, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na wengine wengi.

Mourin alisema alikuwa anavutiwa sana na Aunty Ezekiel, Wema, Rose Ndauke, hivyo ndoto yake ni kufikia mafanikio yao na ikiwezekana kuwazidi.

“Hakuna kisichowezekana, ninachofanya kwa sasa ni kuzidi kujituma na zaidi huwa ninaangalia filamu mbalimbali za wasanii...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani