Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Wema Sepetu Atoa Baraka kwa tumbo la Aunty!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu  ame-share nasi picha kadhaa akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji  Aunty  Ezekiel ambae kwa sasa ni mjamzito na karibu kujifungua.

Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki  wa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola

Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola .Leo hii waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole  nao waepokea zawadi  za vinywaji  hivyo vya coke baada ya kutembelewe na  wawakilishi kutoka  kampuni hiyo ambapo majina ya wasanii  hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya  vinywaji hivyo.

Jionee picha zao hapo juu

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande

Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.

Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema  Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho  ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU ''NIMEPAPENDA GHANA NA HII PICHA NI DEDICATION KWA MTU''

Ikiwa ni siku tatu sasa tangu atue nchini Ghana,akionekana mwenye furaha tele, mwanadada Wema Sepetu akiwa Location na Van Vicker, aliweka picha hiyo hapo juu mtandaoni na akafunguka kuwa tayari ameshapapenda Ghana.kuandika maneno haya;"Day 3... & Im loving Ghana already..... Silly us before we start shooting our next scene.... #NextBigThing#DayAfterDeath (D.A.D) starring Myself and Ghana's very own Van Vicker.... Let me nat forget he is also Directing it ey...."Tena akaweka na hii;Hapa ndipo...

 

9 years ago

Bongo5

Aunty Ezekiel na Wema Sepetu waungana kukuletea filamu ya watoto ‘Saa Mbovu’

Wema na Aunt

Baada ya urafiki wao kudaiwa kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, waigizaji wa filamu hapa nchini, Aunty Ezekiel pamoja na Wema Sepetu wanatarajia kuachia filamu ya pamoja iitwayo ‘Saa Mbovu’ itakayokuwa inazungumzia malezi ya watoto.

Wema na Aunt

Akizungumza na Bongo5 jana, Aunty ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, alisema wakati wa ujauzito wa mwanae alishauriana na Wema kuandaa filamu itakayozungumzia jinsi ya kumlea mtoto.

“Wakati tunafanya hiyo filamu mimi tayari...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja

Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’. Penny, Junaithar aliyewapatanisha, na Wema Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project  flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.

Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.

Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...

 

11 years ago

CloudsFM

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani