WEMA SEPETU ''NIMEPAPENDA GHANA NA HII PICHA NI DEDICATION KWA MTU''
Ikiwa ni siku tatu sasa tangu atue nchini Ghana,akionekana mwenye furaha tele, mwanadada Wema Sepetu akiwa Location na Van Vicker, aliweka picha hiyo hapo juu mtandaoni na akafunguka kuwa tayari ameshapapenda Ghana.kuandika maneno haya;"Day 3... & Im loving Ghana already..... Silly us before we start shooting our next scene.... #NextBigThing#DayAfterDeath (D.A.D) starring Myself and Ghana's very own Van Vicker.... Let me nat forget he is also Directing it ey...."Tena akaweka na hii;
Hapa ndipo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Wema: Nimepapenda Ghana, Picha Hii Namdedicatia Mtu…...
Ikiwa ni siku tatu sasa tangu atue nchini Ghana,akionekana mwenye furaha tele, mwanadada Wema Sepetu akiwa Location na Van Vicker, aliweka picha hiyo hapo juu mtandaoni na akafunguka kuwa tayari ameshapapenda Ghana.
kuandika maneno haya;
"Day 3... & Im loving Ghana already..... Silly us before we start shooting our next scene.... #NextBigThing#DayAfterDeath (D.A.D) starring Myself and Ghana's very own Van Vicker.... Let me nat forget he is also Directing it ey...."
Tena akaweka na...
10 years ago
Bongo Movies03 Nov
Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Picha: Wema Sepetu Atoa Baraka kwa tumbo la Aunty!
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu ame-share nasi picha kadhaa akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji Aunty Ezekiel ambae kwa sasa ni mjamzito na karibu kujifungua.
Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki wa...
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
Bongo Movies29 Jun
Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.
Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.
Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz..Matusi Hayamjengi Mtu, Yanambomoa!
Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.
Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana...
10 years ago
CloudsFM30 Sep