Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz..Matusi Hayamjengi Mtu, Yanambomoa!

Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.

Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz

Stori: Musa Mateja

LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.

Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.

“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...

 

10 years ago

Vijimambo

SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI


Jitiririshe hapa alichokiandika Masanja Mkandamizajiiiiiiiiiii

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram

Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’. Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita […]

The post Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram appeared first on...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!

diamond-na-wema

Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...

 

9 years ago

MillardAyo

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine

Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

The post Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani