SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI

Jitiririshe hapa alichokiandika Masanja Mkandamizajiiiiiiiiiii
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz
Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz..Matusi Hayamjengi Mtu, Yanambomoa!
Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.
Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Baada ya Diamond Kuponda, Wema Sepetu ‘Amsapoti’ Kiba
Kitoka Mitandaoni: Baada ya hapo juzi Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnum kupitia ukurasa wake mtandaoni kutoa lawama juu ya uteuzi wa vipengele wa tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Awards za mwaka huu na pia kueleza kuwa yeye hata hamasisha watu wampigia kura yapo kuwa ametajwa kuwania vipengere vingi zaidi kwenye tuzo hizo, hali ni tofauti kwa upande wa pili ambapo Staa wa Bongo Movies Wema Sepetu na team yake wamekuwa mstari wa mbele kumpigia debe Ali Kiba ili watu wampigia kura ili...