Mourin kuwafungia kazi Wema, Aunty Ezekiel
NA HUSSEIN RAMADHAN, TSJ
MSANII anayefanya vizuri katika filamu nchini, Mourin Joseph ‘Mourin’, amepanga kuwafunika baadhi ya wasanii ambao wanafanya vizuri kama vile Wema Sepetu, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na wengine wengi.
Mourin alisema alikuwa anavutiwa sana na Aunty Ezekiel, Wema, Rose Ndauke, hivyo ndoto yake ni kufikia mafanikio yao na ikiwezekana kuwazidi.
“Hakuna kisichowezekana, ninachofanya kwa sasa ni kuzidi kujituma na zaidi huwa ninaangalia filamu mbalimbali za wasanii...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Dec
Aunty Ezekiel na Wema Sepetu waungana kukuletea filamu ya watoto ‘Saa Mbovu’
![Wema na Aunt](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Wema-na-Aunt-300x194.jpg)
Baada ya urafiki wao kudaiwa kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, waigizaji wa filamu hapa nchini, Aunty Ezekiel pamoja na Wema Sepetu wanatarajia kuachia filamu ya pamoja iitwayo ‘Saa Mbovu’ itakayokuwa inazungumzia malezi ya watoto.
Akizungumza na Bongo5 jana, Aunty ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, alisema wakati wa ujauzito wa mwanae alishauriana na Wema kuandaa filamu itakayozungumzia jinsi ya kumlea mtoto.
“Wakati tunafanya hiyo filamu mimi tayari...
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola
Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola .Leo hii waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao waepokea zawadi za vinywaji hivyo vya coke baada ya kutembelewe na wawakilishi kutoka kampuni hiyo ambapo majina ya wasanii hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya vinywaji hivyo.
Jionee picha zao hapo juu
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande
Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.
Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.
Shabiki akipata picha...
10 years ago
MichuziCASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Aunty Ezekiel afunguka
10 years ago
CloudsFM30 Oct
AUNTY EZEKIEL MJAMZITO?
Habari zimeenea kuwa staa wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel kuwa ni mjamzito,kupitia mtandao wa Instagram baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza kuwa kama ni mjamzito kutokana na muonekano wa tumbo lake kwa sasa kuwa ni kubwa kama linavyoonekana kwenye picha wakati akimlisha keki msanii mwenzake JB wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.
Baadhi ya maswali yalikuwa hivi: mamibeuty wow mum kijacho look gud my dia congrlnt@auntyezekiel
jweekendy_girl Mbona km mama...