MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU
![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwkgF7aJ*SSkQlbL83hLXTkj*u275b2s641kP8gnclEzIK6Zh5dUtWe09tRyhNRqERH4ooQe9L9*GC6EQKcq0*wD/KADINDA.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika. Meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda akiwa na na Staa huyo. Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Martin Kadinda Akanusha Habari ya Wema Kupeleka Diamond Polisi
Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with...
9 years ago
Bongo510 Oct
Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ktt5EQ2Y2yI/VME4Mt4epmI/AAAAAAAAAsE/R0J3lFVeMTE/s72-c/wema778.jpg)
Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ktt5EQ2Y2yI/VME4Mt4epmI/AAAAAAAAAsE/R0J3lFVeMTE/s1600/wema778.jpg)
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana
Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
10 years ago
GPLMARTIN KADINDA KUOA SOON!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1le1Hmk0MPrkbqi22S0v0v*hFdEBcMQxv8sXneg57zpN1uJAHKPOy8X4SRJyxcsYGEEF9lCytwCEP4pMAh1bk3fv/Lowassa.gif?width=650)
LOWASSA, MAGUFULI SHUGHULI PEVU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Atqj5FsrY4Y/VVEiQOLUxcI/AAAAAAAHWxg/MaxrsT1PFSI/s72-c/download%2B(2).jpg)
martin kadinda apigwa kabali na 93.7 efm
![](http://3.bp.blogspot.com/-Atqj5FsrY4Y/VVEiQOLUxcI/AAAAAAAHWxg/MaxrsT1PFSI/s400/download%2B(2).jpg)
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Martin Kadinda kuitambulisha ‘Supremacy’ kimataifa
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-TA50COiRrXg/VJgUEGjp6VI/AAAAAAAABvo/XpVwVEE2-ew/s72-c/1.jpg)
LIVERPOOL, ARSENAL ILIKUWA SHUGHULI PEVU
![](http://3.bp.blogspot.com/-TA50COiRrXg/VJgUEGjp6VI/AAAAAAAABvo/XpVwVEE2-ew/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-W1ldxO-LYhw/VJgUE8qJKYI/AAAAAAAABvw/O0mws8_sRzI/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-cVjD-JsVMkE/VJgUFxnMUuI/AAAAAAAABv4/j9JXHoZrhZU/s1600/3.jpg)