Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA, MAGUFULI SHUGHULI PEVU

Na Mwandishi Wetu HAPATOSHI! Siku moja baada ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) sasa imebainika kuwepo kwa shughuli pevu kati yake na Dk. John Pombe Magufuli, anayesimama kwenye ‘vita’ hiyo kuwakilisha Chama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

LIVERPOOL, ARSENAL ILIKUWA SHUGHULI PEVU

KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers, akiteta jambo na nahodha wake Steven Gerrard, katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal uliochezwa juzi usiku Uwanja wa Anfield. Timu hizo zilitoka sere ya mabao 2-2.
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Danny Welbeck, akiruka juu kumpongeza, Olivier Giroud, aliyefunga bao na Alex Oxlade-Chamberlain (kulia) katika mchezo dhidi ya Liverpool.
BEKI wa Liverpool, Martin Skrtel, akipata huduma ya kwanza baada ya kugongana na Olivier Giroud wa Arsenal katika mchezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam, Tusker shughuli pevu leo

MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Azam FC usiku wa leo wanatarajiwa kushuka dimba la Amaan kisiwani hapa, kumenyana na Tusker ya Kenya katika mchezo wa Kundi C,...

 

11 years ago

GPL

MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU

Stori: Musa Mateja
MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika. Meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda akiwa na na Staa huyo. Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.… ...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM imeingiwa hofu, Magufuli kuwa shughuli

KUNA hofu imetanda ndani ya CCM; hofu ambayo inajaribu kufichwa mapema kwani kama mambo hayatobad

Lula wa Ndali Mwananzela

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AONGOZA SHUGHULI YA WANA CCM KUMDHAMINI MAGUFULI

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudiwa wakati mwanachama wa CCM, Abdallah Milanzi  alipotia saini fomu za kumdhamini, Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli katika ili aweze  kuteuliwa kugombee tena urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA YA UKAWA KUTOSHIRIKI SHUGHULI YA KUAPISHWA KWA DR JOHN POMBE MAGUFULI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema kuwa hawatashiriki shughuli ya kuapishwa kwa Dk. John Pombe Magufuli inayotarajiwa kufanyika Alhamis, Novemba 5, 2015.Kauli hiyo ya Mwenyekiti Mbowe aliyoitoa leo, imekuja wakati kukiwa bado kuna sintofahamu

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani