Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?
Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AONGOZA SHUGHULI YA WANA CCM KUMDHAMINI MAGUFULI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudiwa wakati mwanachama wa CCM, Abdallah Milanzi alipotia saini fomu za kumdhamini, Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli katika ili aweze kuteuliwa kugombee tena urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Wana CCM Serengeti watua kwa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Monduli
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo jana Monduli baada ya kufika nyumbani kwa Lowassa kuwasilisha ombi hilo.
Lakini...
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa achangiwa fedha za kuchukua fomu na Wana CCM mkoa wa Tabora
Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia) akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili kumuwezesha mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani urais kupitia chama hicho.
Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma...
10 years ago
MichuziLowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Bodaboda wasijione wana haki kuliko wengine
NCHI yoyote inayolenga kuendeshwa kistaarabu huwa inajitungia sheria, kanuni na taratibu. Hizi hutumika kama nyenzo za kuhakikisha kuwa watu wanapata haki zao na kuwa haki ya mtu mmoja haitumiki kuvuruga...
10 years ago
Vijimambo17 Jun
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
PHILEMON NDESAMBURO: Watanzania wana nia kuwekeza kwenye gesi
HIVI karibuni viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walianza ziara katika mikoa ya Kigoma, Mwanza, Tabora na Singida, lengo likiwa ni kukiimarisha chama. Mbali na mikutano hiyo ya...
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Wanawake nao wana upungufu wa nguvu za kike; Soma hapa
NI Jumanne tena huku tumbuatumbua majipu ya serikali ikizidi kupamba moto, safu hii inaendelea kuwaletea elimu kubwa ili kuwaweka wasomaji wake kwenye uelewa mkubwa kuhusu mapenzi na maisha.
INAVYOJULIKANA
Mara nyingi wanaume wamekuwa wakitajwa kama sababu kubwa ya wanawake kutofika katika matarajio ya safari ya tendo la ndoa pindi wanaposhiriki.
Hii inatokana na ukweli wa kibaiolojia kuwa, mwanaume wa kawaida hufika mwisho ndani ya wastani wa dakika 2.3 hadi 5 wakati mwanamke hufika kwa...