Lowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha na K-VIS MEDIA)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipokea fomu za udhamini za CCM baada ya kujazwa na wananchama wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO SIMIYU, ADHAMINIWA NA WANACHAMA WA CCM ELFU 5



10 years ago
GPL
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI KILIMANJARO, ADHAMINIWA NA WANACCM 33,780
10 years ago
GPL
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AWASHUKURU WANA CCM WA MTWARA KWA KUMDHAMINI,WAMUHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO


10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Wana CCM Serengeti watua kwa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Monduli
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo jana Monduli baada ya kufika nyumbani kwa Lowassa kuwasilisha ombi hilo.
Lakini...
10 years ago
Vijimambo
Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wana CCM wahimizana ushindi wa kishindo
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa na hatimaye kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa marudio, ili kukiletea ushindi wa kishindo chama hicho.
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli awasili jijini Dar, ajitambulisha kwa wana Dar Es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...