LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO SIMIYU, ADHAMINIWA NA WANACHAMA WA CCM ELFU 5

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wakicheza baada ya 3Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, baada ya kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI KILIMANJARO, ADHAMINIWA NA WANACCM 33,780
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro jana Juni 18, 2015, baada ya kudhadhaminiwa kwa kishindo na WanaCCM hao, ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wanaCCM 33,780. Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za...
10 years ago
GPL
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi (CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana. Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo Lowassa ...
10 years ago
Michuzi
Lowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000


11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI KASULU LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA 500



10 years ago
Michuzi
LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA LEO



10 years ago
CHADEMA Blog
10 years ago
Vijimambo
Mgombea Urais Chadema Mhe Lowassa Apokelewa kwa Kishindo Mjini Bukoba leo.



11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUSHOTO.



10 years ago
Michuzi
MGOMBEA URAIS CCM DKT SHEIN APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR LEO



Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania