Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI AWASHUKURU WANA CCM WA MTWARA KWA KUMDHAMINI,WAMUHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO

  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama na wafuasi wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumpokea,Dkt Magufuli aliwashukuru wanachama hao kwa kujitokeza kwa wingi na walimuahakikishia ushindi wa kishindo na wa mapema katika uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo baadae mwaka huu,pia amewata kuwa na umoja wa kushirikiana na kuweka kando tofauti zao kuhakikisha wanailetea CCM ushindi wa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Husnain Murji akiwahutubia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANA CCM MANYONI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI RAIS DKT MAGUFULI

Baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni wakijaza fomu ya kumdhamini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020.Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda akizungumza na baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni waliojitokeza...

 

9 years ago

Habarileo

Wana CCM wahimizana ushindi wa kishindo

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa na hatimaye kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa marudio, ili kukiletea ushindi wa kishindo chama hicho.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AONGOZA SHUGHULI YA WANA CCM KUMDHAMINI MAGUFULI

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudiwa wakati mwanachama wa CCM, Abdallah Milanzi  alipotia saini fomu za kumdhamini, Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli katika ili aweze  kuteuliwa kugombee tena urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...

 

5 years ago

CCM Blog

WANA CCM RUANGWA WAMIMINIKA KUMDHAMINI DK. MAGUFULI, 2,565 WAJITOKEZA

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma

RUANGWA, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameongoza wanachama 314 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa, Lindi katika kujaza fomu za kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kugombea tena nafasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Nzega Mkoani Tabora.Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika Mkoa wa Shinyanga.Baadhi ya Wadhimini waliojitokeza kumdhamini Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM YATIKISA MUSOMA MJINI,MAGUFULI AENDELEA KUJIHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO KWA ZAIDI YA MIKOA 8

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Mh.Jonh Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Musoma Mjini jioni ya leo wakati wa Mkutano wa Kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Magufuli amesisitiza/ameomba wananchi wa Musoma kuchagua wagombea wa Chama cha Mapinduzi kwasababu ndicho chama chenye Ilani Bora na yeye amejipanga kuhakikisha anatatua kero zinazowakabili Wananchi wote wa Tanzania bila kubagua.Sehemu ya Maelfu ya wananchi wakifuatilia Mkutano wa kampeni wa Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

CCM MTWARA WAUNGANA KUMHAKIKISHIA USHINDI MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimia wanachama wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsalimia kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wana CCM wa mkoa wa Mtwara nje ya ofisi za CCM mkoa. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wana CCM wa mkoa wa Mtwara nje ya Ofisi ya CCM mkoa na kuwataka wana CCM kuwa kitu kimoja na kuimarisha Chama.

 

5 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani