Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake nao wana upungufu wa nguvu za kike; Soma hapa

Usefull tips How to Stop Premature Ejaculation. About Male Sexual Issues.

NI Jumanne tena huku tumbuatumbua majipu ya serikali ikizidi kupamba moto, safu hii inaendelea kuwaletea elimu kubwa ili kuwaweka wasomaji wake kwenye uelewa mkubwa kuhusu mapenzi na maisha.

INAVYOJULIKANA
Mara nyingi wanaume wamekuwa wakitajwa kama sababu kubwa ya wanawake kutofika katika matarajio ya safari ya tendo la ndoa pindi wanaposhiriki.
Hii inatokana na ukweli wa kibaiolojia kuwa, mwanaume wa kawaida hufika mwisho ndani ya wastani wa dakika 2.3 hadi 5 wakati mwanamke hufika kwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

10 years ago

GPL

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo hili kwa kawaida huwapata watu wenye umri mkubwa hasa kuanzia umri wa miaka sitini na wagonjwa wenye magonjwa sugu kama shinikizo la damu, kisukari, kansa, kifua kikuu, ukimwi na wale wanaotumia madawa kwa muda mrefu. Mfano baadhi ya dawa za shinikizo la damu, moyo, kansa, vidonda vya tumbo na nyingine nyingi ambazo hazijafanyiwa uchunguzi wa kisayansi hasa baadhi ya dawa za asili huweza kukuathiri kabisa badala ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto asilimia 33 nchini wana upungufu Vitamin A

TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, imesema asilimia 33 ya watoto walio na umri chini ya miaka 5 nchini wana upungufu wa vitamini A. Mtaalamu wa chakula na lishe kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mitindo ya maisha na upungufu wa nguvu za kiume

Wanaume wana kawaida ya kupenda kufahamika kwa umahiri wao kimwili na matokeo yake hujiita kwa majina mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOTOKANA NA KISUKARI (DIABETIC NEPHROPATHY) -2

BAADA ya kueleza kirefu kuhusu ugonjwa huu leo tuhitimishe kwa kufafanua tiba yake lakini pia nichukue nafasi kama mtaalamu kutoa ushauri. Endelea. Matibabu
Lengo kuu la matibabu ni kufanya figo zisiendelee kuathirika. Mojawapo ya njia bora kabisa za kusaidia hilo ni kudhibiti kiwango cha shinikizo la damu kuwa chini ya 130/80 mmHg. Zipo dawa husaidia tatizo hili kama vile zile za jamii ya Angiotensin Converting Enzyme...

 

10 years ago

GPL

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOTOKANA NA KISUKARI (DIABETIC NEPHROPATHY)

Yapo madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu na mojawapo ni ugonjwa wa figo (Diabetic Nephropathy) pamoja na ukosefu wa nguvu za kiume.Matatizo haya huwapata watu wenye kisukari na hutokea muda mrefu baada ya mtu kugunduliwa kuwa na maradhi ya kisukari. Tutaeleza baadaye kwa nini wenye ugonjwa wa kisukari wanakuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini leo tuangazie tatizo la figo ambayo ina mamia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UHUSIANO ULIOPO KATI YA PUNYETO NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 UKOSEFU  ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani. 
 Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye  mishipa itumikayo  kusafrisha damu  mwilini, maradhi  ya  ngiri,  pamoja  na   upigaji  punyeto  kwa  muda ...

 

10 years ago

Michuzi

DAWA YA JIKO KUPONYESHA KABISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Je. Unasumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume ?·        Unahitaji     tiba   ya  uhakika    kwa  ajili   ya  tatizo  lako  ?KAMA     JIBU  LAKO  NI  NDIO  BASI  HII  NI  HABARI   NJEMA  SANA  KWAKO.NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL   FOODS   CLINIC   ni  duka  la   kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili.Tunakujulisha  kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

UHUSIANO ULIOPO KATI YA PUNYETO NA TATIZO LA UKOSEFU / UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

 Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.  Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye  mishipa itumikayo  kusafrisha damu  mwilini, maradhi  ya  ngiri,  pamoja  na   upigaji  punyeto ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani