Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana
Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Picha: Safisha Macho na Hizi za Shishi Bybee Zilizopendwa na Wengi
Picha hizi za staa na mrembo kutoka Bongo Movies, Shilole ‘Shishi bybee’ alizozibandika leo kwenye ukursa wake mtandaoni zimewapagawisha wengi na kuzua mzozo huku wengine wakimmwagia sifa mwanamama huyu wa watoto wawili , kuwa anaonekana kama ni mdada wa miaka 20+ na wengine kuvuka mpaka na kusema mwacheni Mziwanda ambae ni mchumba wake aendelee kung’ang’ania hata kama anapewa kichapo mara kwa mara kwani Shishi bybee ni mtamuu zaidi ya mcharoo.
Kiukweli Shishi ametokelezea,jionee hapo...
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Martin Kadinda Akanusha Habari ya Wema Kupeleka Diamond Polisi
Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with...
11 years ago
GPL
MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU
11 years ago
VijimamboMartin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

10 years ago
Bongo Movies14 Apr
Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.
Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...
10 years ago
Bongo510 Oct
Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka
10 years ago
Vijimambo
Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka

“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...
11 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
Bongo Movies11 Jan
Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana
NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga, jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree'' kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.
Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku, jambo linalopelekea kuibuka...