Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi …

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola jina lake limekuwa likitumika kupamba headlines tofauti tofauti za magazeti ya michezo barani Ulaya na Afrika, hususani juu ya stori za kocha huyo kuhusishwa kutaka kujiunga na Man City ila Chelsea na Man United […]

The post Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana

Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.

Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NI KWELI HAPA PAMESHINDIKANA??

 Ni Miaka mingi sasa imepita huku shimo hilo la chemba likifanyiwa vibweka vya kuwekewa mavitu ya aina mbali mbali ikiwa ni ishara ya alama kwamba hapa kuna shimo.kiukweli shimo hili ni kero sana kwa watumiaji wa njia hiyo hasa ukizingatia lipo maeneo ya katikati ya jiji la Dar pembeni ya jengo refu la Benjamin Mkapa Tower na usoni kwa Makao Makuu ya Benki ya NMB.swali linakuja,hivi ni kweli kwamba hapa pameshindikana kufanyiwa kabisa kutafutiwa ufumbuzi yakinifu?

 

11 years ago

Mwananchi

Hivi kweli Serikali haiwezi kupambana na majangili?

Tuna vita mikononi mwetu hivyo ni muhimu tutumie kila tulichonacho kupambana na kushinda vita hiyo.

 

9 years ago

Bongo5

Zari: Diamond ananipenda hivi hivi pamoja na ninyi kuniona bibi!

12357542_428396244023192_1854107619_n

Kuna watu wanaodai kuwa make up ya Zari kwenye video ya Utanipenda! imemharibu na sasa mpenzi huyo wa Diamond amevunja ukimya na kuwajibu.

12357542_428396244023192_1854107619_n

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zari ameandika:

Need I remind some fools that this was a music video a lot of make up going on here and sometimes it just doesn’t do justice on a face, so if age is what is bothering you guess what, he knows there is a lot of young hoes out there but then again he prefers this old ass right here, so suck that up and take...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL, HIVI KWELI WEWE NI MKE WA MTU?

NIMEWAHI kuzungumza mara kadhaa katika safu hii kuhusu huyu binti, mtoto wa nguli wa zamani wa soka Tanzania, Ezekiel Greyson ‘Jujuman’, aliyevuma sana akiwa na Simba. Anaitwa Aunt Ezekiel, staa wa filamu za Kibongo! Nilisema kuwa katika tasnia ya filamu, ni muigizaji mzuri kwa kupamba sinema kutokana na uzuri wa sura na umbo lake, lakini katika wasanii wanaotakiwa kwa weledi na viwango, bado ni mtu wa kati, ingawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani