Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana
NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga, jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree'' kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.
Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku, jambo linalopelekea kuibuka...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo514 Jan
Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....
10 years ago
MichuziBONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL
UZINDUZI wa kitabu cha msanii wa filamu hayati Steven Kanumba unatarajia kuandika historia kufuatia maandalizi yaliyopangwa anasema mratibu wa tamasha hilo Mohamed Mwikongi ‘Frank’ amesema kuwa kutakuwa na mambo muhimu sana kwa ajili ya kumuenzi msanii huyo ambaye aliitangaza Tanzania kimataifa.
“Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
PICHA: Birthday Party ya Butuli Iliyofanyika Hoteli ya Kempisk Hapo Jana
Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na mwigizaji wa filamu Yobnesh Yussuph ‘Butuli’ aliposherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya Hyatt Regency Kempisk hapo jana.
Sherehe hiyo ilihudhuliwa na baadhi ya watu wake wa karibu wakiwemo waigizaji wenzake, mbali na kufanya sherehe hiyo mapema siku ya jana Butuli aliwatembea watoto wanaoisha kwenye mazingira magumu.
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana
Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
10 years ago
GPL10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ*Qnc8KbjCtpRf-K0wZL7JPIWhxHvmBAY3Nh8z71x7vCPL80Xnl5oB20KBQ9yMCRiuoT6WfvHtcJw8Y1I0qwifp/MaAbdul.jpg?width=650)
MAMA ABDUL AWACHARUKIA WALIOSUSIA KITABU CHA KANUMBA