Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.

Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Filamu ya ‘Mbwa Mwitu’ ya Kajala yazinduliwa Mlimani City

Msanii wa filamu nchini, Kajala Masanja jana amefanikiwa kuzindua filamu yake mpya ‘Mbwa Mwitu’ ndani ya ukumbi wa sinema wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu pamoja na wanamuziki. Kajala akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na Bongo5 kwenye uzinduzi huo, Kajala amesema filamu hiyo ni maalum kwaajili […]

 

10 years ago

CloudsFM

KAJALA AIONYESHA MOVIE YAKE YA MBWA MWITU,MLIMANI CITY

STAA wa Bongo Fleva, Kajala Masanja pamoja na timu yake ya Kay Entertainment kampuni mpya ya kuzalisha filamu ambayo iko chini yake, jana usiku pande za Mlimani City waliionyesha filamu yao ya kwanza inaitwa Mbwa Mwitu. Filamu hiyo ambayo ina historia ya ukweli inahusu genge la vijana wahalifu waliokuwa wakisumbua jijini Dar Es Salaam.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana

NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga,  jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree''  kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.

Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka...

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MPANGO MBAYA KUZINDULIWA NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY


MPANGO MBAYA ni filamu iliyochezwa na washiriki 10 waliofanikiwa kuingia katika Fainali ya shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) msimu wa kwanza 2014 na kushirikisha baadhi ya waigizaji mahiri kutoka katika kiwanda cha Filamu Tanzania. Filamu ya Mpango Mbaya ni filamu ambayo imetengenezwa kwa viwango vya hali ya juu huku ikikidhi viwango vya kimataifa na ni filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu kuanzia ubora wa picha,...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA WASANII KWENYE MADHIMISHO YA SIKU YA MSANII MLIMANI CITY JANA USIKU OCTOBA 25-2014

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Edward Said Tingatinga msanii aliyejitolea maisha yake kwa Jamii, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Uzinduzi Wa Tanzania Film Awards 2014/2015 ulivyokuwa New Africa Hotel - Dar

 Rais Wa TAFF Simon Mwakifamba akiongea wakati wa uzinduzi wa Tuzo za Filamu Nchini zilizozinduliwa hivi karibuni.

Mkurugenzi wa Bodi ya FIlamu Nchini Mama Fisoo akiongea wakati wa Uzinduzi wa Tuzo za Filamu nchini 

Novemba 24, 2014; Zile tuzo zilizosubiriwa kwa muda mrefu na watanzania sasa zimezinduliwa rasmi jijini Dara es Salaam. Zimezinduliwa rasmi kwa shamra shamra za aina yake mwishoni mwa wiki na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii ndio filamu ya Kibongo itakaayoneshwa kwenye jumba la cinema la Mlimani City kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu.

Kwa mara nyingine tena wapenzi wa bongo movies tunatapa fursa ya kwenda kuangalia moja ya kazi za kipekee na ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya filamu nchini. Kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, basi tukutane pale kwenye jumba la cinema la mlimani city kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu kutazama filamu mpya na ya Kipekee Samaki mchangani. iliyotengenezwa na kampuni ya Kijiweni production chini ya usimamizi wa mtayarishaji Wlison Rumisha.

 

"Filamu hii inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, JIJINI DAR

 Mwandishi wa habari, Ndg Francis Dande (wa kwanza kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana  mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya huduma nyingine zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF. Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almasi Nyangasa akijaza fomu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani