Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Filamu ya ‘Mbwa Mwitu’ ya Kajala yazinduliwa Mlimani City

Msanii wa filamu nchini, Kajala Masanja jana amefanikiwa kuzindua filamu yake mpya ‘Mbwa Mwitu’ ndani ya ukumbi wa sinema wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu pamoja na wanamuziki. Kajala akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na Bongo5 kwenye uzinduzi huo, Kajala amesema filamu hiyo ni maalum kwaajili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.

Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....

 

10 years ago

CloudsFM

KAJALA AIONYESHA MOVIE YAKE YA MBWA MWITU,MLIMANI CITY

STAA wa Bongo Fleva, Kajala Masanja pamoja na timu yake ya Kay Entertainment kampuni mpya ya kuzalisha filamu ambayo iko chini yake, jana usiku pande za Mlimani City waliionyesha filamu yao ya kwanza inaitwa Mbwa Mwitu. Filamu hiyo ambayo ina historia ya ukweli inahusu genge la vijana wahalifu waliokuwa wakisumbua jijini Dar Es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY

Na Imelda Mtema SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake. Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye  Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Wasemavyo walioitazama filamu ya Going Bongo, Mlimani City

12356420_957636774330521_1441234626_n

Filamu ya Going Bongo imeanza kuoneshwa pale Century Cinemax, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ni movie ya kwanza ya Tanzania kufanywa hivyo. Tazama reaction za watu walioitazama.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MPANGO MBAYA KUZINDULIWA NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY


MPANGO MBAYA ni filamu iliyochezwa na washiriki 10 waliofanikiwa kuingia katika Fainali ya shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) msimu wa kwanza 2014 na kushirikisha baadhi ya waigizaji mahiri kutoka katika kiwanda cha Filamu Tanzania. Filamu ya Mpango Mbaya ni filamu ambayo imetengenezwa kwa viwango vya hali ya juu huku ikikidhi viwango vya kimataifa na ni filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu kuanzia ubora wa picha,...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA MPANGO MBAYA YA TMT KURUSHWA MLIMANI CITY CINEMA 12.JUNE.2015

ILE Filamu kubwa iliyoshirikisha wasanii mahiri kutoka Tanzania movie Talent Top Ten 2014 (TMT) ipo tayari na inatarajia kuonyeshwa katika jumba la sinema la Mlimani City Cinema Tarehe 12.June. 2015 ni siku ya Ijumaa na itarfuka kwa siku tatu Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.
Sinema hiyo ambayo imeshirikisha wasanii wakali wenye elimu ya uigizaji kutoka kwa wakufunzi kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam imerekodiwa katika viwango vya kimataifa ndio maana inaanza kurushwa katika majumba ya sinema...

 

9 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR

FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi  imekamilika  sasa kuzinduzliwa rasmi kesho  Ijumaa kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia  katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema, 
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani