Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vinara Mbwa Mwitu, Panya Road mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata viongozi sita wa makundi ya uhalifu maarufu kwa majina ya Mbwa Mwitu na Panya Road. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?

MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...

 

10 years ago

GPL

MAKONGORO POLISI JAMII NDIYO DAWA YA ‘MBWA MWITU, PANYA ROAD’

Segerea ni moja kati ya majimbo matatu yaliyopo kwenye Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Milton Makongoro Mahanga ndiye mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Wiki iliyopita, gazeti la Uwazi lilifunga safari mpaka jimboni humo na kuanza kukata mitaa kuzungumza na wananchi ili kujua kero mbalimbali zinazowakabili na namna mbunge wao anavyozishughulikia. MATATIZO YA WANANCHI
Wananchi wa Segerea...

 

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Mbwa mwitu kusakwa

>Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalumu  ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ametoa muda wa wiki moja kwa makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda hiyo, kushirikiana na wananchi, ili kuwasaka na kuwatia mbaroni vijana wanaojiita ‘mbwa mwitu’ wanaotishia usalama wa watu jijini.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwa mwitu’ 2 watoro wanaswa

Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Dar es Salaam, wanawashikilia watu wawili wa kundi la Mbwa mwitu.

 

11 years ago

TheCitizen

EDITORIAL: Tame ‘Mbwa Mwitu’ menace

>It would seem that police in Dar es Salaam are doing precious little to deal with vicious gangsters calling themselves Mbwa Mwitu (Wild Dogs).

 

11 years ago

Mwananchi

Kova: Tumewanasa viongozi wa ‘Mbwa Mwitu’

>Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu sita wanaodaiwa ni viongozi wa kundi la ‘Mbwa Mwitu’ linalojihusisha na vitendo vya uvamizi na uporaji wa mali za watu kwenye nyumba na maduka jijini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwa Mwitu’ waiteka mitaa Dar

>Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu kulitawanya kundi la vijana zaidi ya 300 wanaojiita ‘Mbwa Mwitu’ lililokuwa limewavamia wananchi na kupora mali kwenye nyumba na maduka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani