MAKONGORO POLISI JAMII NDIYO DAWA YA ‘MBWA MWITU, PANYA ROAD’
Segerea ni moja kati ya majimbo matatu yaliyopo kwenye Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Milton Makongoro Mahanga ndiye mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Wiki iliyopita, gazeti la Uwazi lilifunga safari mpaka jimboni humo na kuanza kukata mitaa kuzungumza na wananchi ili kujua kero mbalimbali zinazowakabili na namna mbunge wao anavyozishughulikia. MATATIZO YA WANANCHI Wananchi wa Segerea...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Vinara Mbwa Mwitu, Panya Road mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata viongozi sita wa makundi ya uhalifu maarufu kwa majina ya Mbwa Mwitu na Panya Road. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?
MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...
11 years ago
CloudsFM29 May
HAWA NDIYO 'PANYA ROAD' WALIOKAMATWA NA JESHI LA POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba, mtaa na maeneo yaliyoathirika kwa hofu ya vijana ambao ni vibaka maarufu kama Mbwa mwitu au Panya Road. Msako huu uliofanyika ndani ya masaa 24 hadi alfajiri ya tarehe 26/5/2014 kwa lengo la kuwaondolea hofu na uhalifu dhidi ya makundi ya vijana wadogo wasio na ajira ambao uliibuka hivi karibuni.
Maeneo yaliyoathirika ni Kigogo, Magomeni, Tabata, maeneo yote yanayozunguka mto Msimbazi, maeneo ya Mbagala nk....
11 years ago
MichuziTAARIFA YA POLISI KUHUSU VIKUNDI VYA MBWA MWITU
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Ajira na mazingira yasiyo na dawa za kulevya huua Panya Road
10 years ago
Michuzi03 Jan
10 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI LAZIDI KUWATIA MBARONI PANYA ROAD, SASA IDADI YAFIKIA 1508

Msako huo mkali ni endelevu kama ilivyokwishaelezwa tangu awali mpaka tutakapohakikisha uhalifu wa makundi au jina la panya road litakapofutika kabisa. Misako hii inafanyika katika mikoa yote ya kipolisi yaani Ilala, Temeke na Kinondoni na makamanda wa mikoa hiyo wanaendelea kuwa wasimamizi wakuu wa misako hii.
Misako hii...