Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA POLISI KUHUSU VIKUNDI VYA MBWA MWITU

Kufutia kuibuka kwa vikundi vya vijana vinavyojulikana kwa majina ya mbwa mwitu, watoto wa mbwa au Panya road na kujihusisha na vitendo vya kihalifu ikiwemo uporaji, unyang’anyi wa kutumia nguvu na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi (DIGP) Abdulrahaman Kaniki amewaagiza makamanda hususani wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam kuhakikisha wanavitafuta vikundi hivyo popote vilipo, kuwakamata na kuwafisha katika vyombo vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKONGORO POLISI JAMII NDIYO DAWA YA ‘MBWA MWITU, PANYA ROAD’

Segerea ni moja kati ya majimbo matatu yaliyopo kwenye Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Milton Makongoro Mahanga ndiye mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Wiki iliyopita, gazeti la Uwazi lilifunga safari mpaka jimboni humo na kuanza kukata mitaa kuzungumza na wananchi ili kujua kero mbalimbali zinazowakabili na namna mbunge wao anavyozishughulikia. MATATIZO YA WANANCHI
Wananchi wa Segerea...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

10 years ago

StarTV

Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja

Polisi  nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa  vinaingilia majukumu yao.

Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.

Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...

 

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Mbwa mwitu kusakwa

>Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalumu  ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ametoa muda wa wiki moja kwa makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda hiyo, kushirikiana na wananchi, ili kuwasaka na kuwatia mbaroni vijana wanaojiita ‘mbwa mwitu’ wanaotishia usalama wa watu jijini.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwa mwitu’ 2 watoro wanaswa

Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Dar es Salaam, wanawashikilia watu wawili wa kundi la Mbwa mwitu.

 

11 years ago

Daily News

Residents blamed over 'Mbwa Mwitu' thugs


Residents blamed over 'Mbwa Mwitu' thugs
Daily News
FEW weeks after a criminal gang dubbed 'Mbwa Mwitu' embarked on a looting and raping spree, including beating up residents in some parts of Ilala and Temeke municipalities, police in Temeke Region have blamed residents of the affected areas for failing ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waomba ‘Mbwa Mwitu’ washughulikiwe

WAKAZI wa Pugu Mnadani wilayani Ilala, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam wameliomba Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi kutokana na tishio la kundi la vijana wanyang’anyi liitwalo ‘Mbwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanaodaiwa ‘Mbwa Mwitu’ kizimbani Dar

Wakazi sita wa Dar es Salaam maarufu Mbwa Mwitu au waanzilishi wa kundi la Watoto wa Mbwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani