Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaodaiwa ‘Mbwa Mwitu’ kizimbani Dar

Wakazi sita wa Dar es Salaam maarufu Mbwa Mwitu au waanzilishi wa kundi la Watoto wa Mbwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwa Mwitu’ waiteka mitaa Dar

>Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu kulitawanya kundi la vijana zaidi ya 300 wanaojiita ‘Mbwa Mwitu’ lililokuwa limewavamia wananchi na kupora mali kwenye nyumba na maduka.

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA DAR WACHOCHWA NA TABIA YA VIBAKA (MBWA MWITU)

Umati wa watu wakishuhudia. Polisi wakibeba mwili wa marehemu. Mwili ukipakiwa…

 

11 years ago

Habarileo

Sita mbaroni wakihusishwa kuongoza `Mbwa Mwitu’ Dar

JESHI la Polisi limewakamata watu 6, wanaosadikiwa kuwa ni vinara wa vikundi hatari vya `Mbwa Mwitu’, `Watoto wa Mbwa’ au `Panya Road’ . Vikundi hivyo vinajihusisha na matukio ya kihalifu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwa mwitu’ 2 watoro wanaswa

Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Dar es Salaam, wanawashikilia watu wawili wa kundi la Mbwa mwitu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Mbwa mwitu kusakwa

>Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalumu  ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ametoa muda wa wiki moja kwa makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda hiyo, kushirikiana na wananchi, ili kuwasaka na kuwatia mbaroni vijana wanaojiita ‘mbwa mwitu’ wanaotishia usalama wa watu jijini.

 

11 years ago

Daily News

Residents blamed over 'Mbwa Mwitu' thugs


Residents blamed over 'Mbwa Mwitu' thugs
Daily News
FEW weeks after a criminal gang dubbed 'Mbwa Mwitu' embarked on a looting and raping spree, including beating up residents in some parts of Ilala and Temeke municipalities, police in Temeke Region have blamed residents of the affected areas for failing ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kova: Tumewanasa viongozi wa ‘Mbwa Mwitu’

>Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu sita wanaodaiwa ni viongozi wa kundi la ‘Mbwa Mwitu’ linalojihusisha na vitendo vya uvamizi na uporaji wa mali za watu kwenye nyumba na maduka jijini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani