KAJALA AIONYESHA MOVIE YAKE YA MBWA MWITU,MLIMANI CITY
STAA wa Bongo Fleva, Kajala Masanja pamoja na timu yake ya Kay Entertainment kampuni mpya ya kuzalisha filamu ambayo iko chini yake, jana usiku pande za Mlimani City waliionyesha filamu yao ya kwanza inaitwa Mbwa Mwitu. Filamu hiyo ambayo ina historia ya ukweli inahusu genge la vijana wahalifu waliokuwa wakisumbua jijini Dar Es Salaam.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Sep
Picha: Filamu ya ‘Mbwa Mwitu’ ya Kajala yazinduliwa Mlimani City
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXHimcv0k1kiocTBuscqkFdQyOXgzKlkubu8s7CcATsPuiwuNXB6tZztxlrne2BWqO2wZYGJeYcswb5npKJzc9cV/kajala.jpg)
KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Kundi la Mbwa mwitu kusakwa
11 years ago
Mwananchi16 Jan
‘Mbwa mwitu’ 2 watoro wanaswa
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Christian Bella kutoa burudani ya kufa mtu katika fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) tarehe 30 August 2014 Mlimani City
Christian Bella
Na Josephat Lukaza
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la...