KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY
![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXHimcv0k1kiocTBuscqkFdQyOXgzKlkubu8s7CcATsPuiwuNXB6tZztxlrne2BWqO2wZYGJeYcswb5npKJzc9cV/kajala.jpg)
Na Imelda Mtema SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake. Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycF5nrCwo-zb3*vbCQFc0sphQDwP074jO-jkk-ES-y*bMTBdZpjMKFMofJL4OICc0KcTEfJ*al6hNDha4gv0ZADX/D.jpg?width=650)
DIAMOND PLATINUMZ AWA GUMZO USIKU HUU MLIMANI CITY
10 years ago
CloudsFM25 Sep
KAJALA AIONYESHA MOVIE YAKE YA MBWA MWITU,MLIMANI CITY
STAA wa Bongo Fleva, Kajala Masanja pamoja na timu yake ya Kay Entertainment kampuni mpya ya kuzalisha filamu ambayo iko chini yake, jana usiku pande za Mlimani City waliionyesha filamu yao ya kwanza inaitwa Mbwa Mwitu. Filamu hiyo ambayo ina historia ya ukweli inahusu genge la vijana wahalifu waliokuwa wakisumbua jijini Dar Es Salaam.
10 years ago
Bongo525 Sep
Picha: Filamu ya ‘Mbwa Mwitu’ ya Kajala yazinduliwa Mlimani City
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22XiO7sOnkN793mQLrJ4eFrsAtChFUDVfuao*hmUL-Tb1C12Rb03TNjGyXZDO9Eliix*Tq1zhleuYz8FJlj17C-/kajala.jpg)
MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!
10 years ago
CloudsFM05 Feb
KAJALA AWAFUNGUKIA WANASEMA KUWA ANAMHARIBU MWANAYE KITABIA
Staa wa Bongo Movie,Kajala Masanja amewatolea uvivu mashabiki wake waliomshambulia kuwa anamharibu mtoto wake aliyezaa na producer wa Bongo Records,P Funk,Paula kutokana na mavazi yasiyo na maadili anayoyavaa mbele ya mwanaye huo.
Mashabiki hao walimshambulia kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo inaonyesha tumbo lake likiwa wazi ambapo mashabiki hao walidai kuwa anamfundisha nini mwanaye kutokana na mavazi hayo aliyoyavaa.
Baada ya kuona mashambulizi hayo...
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Baba amzuia mwanaye Mbeya City
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
BABA mzazi wa kipa namba moja wa timu ya Mbeya City, Abdallah David, amemzuia mwanaye David Burhani, kuichezea timu hiyo kwa kile alichodai kupotezewa muda na timu hiyo.
Burhani alisimamishwa kwa muda usiojulikana na uongozi wa timu hiyo, siku chache baada ya kudaiwa kuihujumu timu hiyo katika mchezo wao dhidi ya Yanga.
Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine mjini humo, Yanga walishinda mabao 3-1 huku Burhani akidaiwa kufanya uzembe wa kuruhusu...
10 years ago
TheCitizen24 Nov
Mlimani City mall still insecure
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-TB0Hw1lVw84/VcOYm9sTViI/AAAAAAAAjbU/AV02aUJLwtY/s72-c/1.jpg)
MAGUFULI AWASILI MLIMANI CITY
![](http://1.bp.blogspot.com/-TB0Hw1lVw84/VcOYm9sTViI/AAAAAAAAjbU/AV02aUJLwtY/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WLCIMrRDw38/VcOYnPuKB_I/AAAAAAAAjbY/ZnOOqbFelyo/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BVrWvWps4KY/VcOYsfWsooI/AAAAAAAAjbs/2hy8Y-Fzyrs/s640/1.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZClyqvb55X9PJSyZ6C9GNCVopoaF3ECQwqLNDxTJ8GTEoIJKtyuge8*0Zv2ZtB1udbLxVQqroMc7caYXBr*TvgPS/BACKAMANI.jpg?width=650)
HOFU YA BOMU MLIMANI CITY