KAJALA AWAFUNGUKIA WANASEMA KUWA ANAMHARIBU MWANAYE KITABIA
Staa wa Bongo Movie,Kajala Masanja amewatolea uvivu mashabiki wake waliomshambulia kuwa anamharibu mtoto wake aliyezaa na producer wa Bongo Records,P Funk,Paula kutokana na mavazi yasiyo na maadili anayoyavaa mbele ya mwanaye huo.
Mashabiki hao walimshambulia kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo inaonyesha tumbo lake likiwa wazi ambapo mashabiki hao walidai kuwa anamfundisha nini mwanaye kutokana na mavazi hayo aliyoyavaa.
Baada ya kuona mashambulizi hayo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!
10 years ago
GPL
KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wanafunzi wa sekondari ya wasichana Makete watakiwa kuwa mfano bora kielimu na kitabia
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani).
Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro.
Maktaba ya shule hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (wa tatu kushoto) akiwa na walimu wa shule hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Taaluma sekondari wilaya hiyo.(Picha zote na Edwin...
11 years ago
GPLWANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA MAKETE WATAKIWA KUWA MFANO BORA KIELIMU NA KITABIA
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Wanawake Sudan: Wanasema sisi wanaume kwa kuwa tunacheza mpira
10 years ago
Bongo523 Oct
Tyga aapa kuwa hatakuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye
10 years ago
Bongo504 Dec
Quick Rocka akanusha kuwa na uhusiano na Kajala
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
MAPENZINI:Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na Kajala
Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile...
11 years ago
Bongo Movies13 Jul
Kajala afunguka kuwa wema sepetu ni mnafiki na si rafiki wa kweli.
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wa GPL, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”
Kajala alisema...