Tyga aapa kuwa hatakuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye
Rapper Tyga ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aliyempata na aliyekuwa mpenzi wake Blac Chyna. Katika kuonesha kuwa yeye ni baba bora na mwenye malezi mema kwa mtoto wake aitwaye King Cairo, rapper huyo ameapa kuwa kamwe hatawahi kuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye mwenye miaka mitatu, wala kuruhusu mtu mwingine yeyote kufanya hivyo, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Mar
Jimmy:Nimeacha Kuvuta Bangi!
Mtayarishaji na mwigizaji wa filamu, Jimmy Mafufu amefunguka kwa kuweka wazi kama alikuwa ni mtumiaji wa kilevi hatari aina ya bangi lakini anashukru Mungu ameacha kutumia kilevi hicho sambamba na sigara na pombe kwani ni Mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila.
“Toka niache kuvuta sigara nina mwezi mmoja nilianza kuacha pombe nikaacha kuvuta Bangi, nakupa ushuhuda unajua mimi ni mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila mwalimu wa watu wa Mungu,”anasema Jimmy.
Jimmy ambaye hajabaisha Babu yake...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
MR BLUE :Sasa nimeacha kuvuta bangi asema ukiamua unaweza
10 years ago
Mtanzania19 May
Blac Chyna: Nimekusamehe Tyga ila kuwa makini
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
LICHA ya mgogoro wa muda mrefu kati ya msanii kutoka kundi la Young Money, Michael Stevenson ‘Tyga’ na mpenzi wake wa zamani, Blac Chyna, wawili hao wamesameheana ili walee mtoto wao.
Tyga baada ya kuachana na mrembo huyo ambaye alizaa naye mtoto mmoja, aliamua kutoka na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner, lakini msanii huyo alikuwa akimkumbuka mama mtoto wake hivyo akamtaka warudiane lakini mwana dada huyo aligoma.
Juzi mwanamitindo huyo alimsamehe mwenzake....
10 years ago
Bongo514 Feb
Drake amdiss Tyga kwenye mixtape mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ , Tyga amjibu
9 years ago
Bongo524 Nov
Baada ya kurudiana Kylie Jenner athibitisha kuwa ndoa yake na Tyga inakuja
![West Hollywood, CA - Kylie Jenner is back with her boyfriend, Tyga, after a short break-up during his birthday. They were seen arriving together at The Nice Guy for Justin Bieber's party where Kylie leaned on Tyga's shoulder to get out of their limo bus.
MANDATORY CREDIT: Maciel/Roger/AKM-GSI
AKM-GSI November 22, 2015
To License These Photos, Please Contact :
Steve Ginsburg
(310) 505-8447
(323) 423-9397
steve@akmgsi.com
sales@akmgsi.com
or
Maria Buda
(917) 242-1505
mbuda@akmgsi.com
ginsburgspalyinc@gmail.com](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tyga-na-kylie-AMAa-300x194.jpg)
Baada ya kudaiwa kuachana siku chache zilizopita, rapper Tyga na mrembo kutoka kwenye familia maarufu ya The Kardashians, Kylie Jenner walionekana pamoja baada ya tuzo za ‘American Music Awards’ Jumapili iliyopita, ikiashiria kuwa wamemaliza matatizo waliyokuwa nayo.
Tyga aliyekuwa amevaa suti ya blue pamoja na Kylie aliyekuwa amevaa kivazi cheupe walionekana wakiwa wameshikana mikono baada ya tuzo hizo.
Wakati wakipanda gari ili kuelekea kwenye after party ya Justin Bieber, paparazzi...
10 years ago
Bongo518 Feb
Tyga akanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, azungumzia diss ya Drake
10 years ago
CloudsFM05 Feb
KAJALA AWAFUNGUKIA WANASEMA KUWA ANAMHARIBU MWANAYE KITABIA
Staa wa Bongo Movie,Kajala Masanja amewatolea uvivu mashabiki wake waliomshambulia kuwa anamharibu mtoto wake aliyezaa na producer wa Bongo Records,P Funk,Paula kutokana na mavazi yasiyo na maadili anayoyavaa mbele ya mwanaye huo.
Mashabiki hao walimshambulia kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo inaonyesha tumbo lake likiwa wazi ambapo mashabiki hao walidai kuwa anamfundisha nini mwanaye kutokana na mavazi hayo aliyoyavaa.
Baada ya kuona mashambulizi hayo...
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
UN yaisifu Tanzania kuwa mstari wa mbele kutetea albino
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya.(Picha na modewjiblog)
Na Mwandishi wetu, Arusha
MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodgriguez amepongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele kushawishi dunia siku ya...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/UN-12.jpg?width=640)
UN YAISIFU TANZANIA KUWA MSTARI WA MBELE KUTETEA ALBINO