Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tyga akanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, azungumzia diss ya Drake

Rapper wa YMCMB, Tyga amekanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner. Akiongea kwenye kipindi cha Power 105.1, The Breakfast Club jana, Tyga alidai kuwa hakuiacha familia yake kuwa na Kyle. Kabla ya hapo Amber Rose ambaye rafiki yake na mke wa zamani wa Tyga, Blac Chyna alihojiwa kwenye kipindi hicho pia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kim Kardashian akanusha tetesi za kuwa mjamzito, asifia wimbo mpya wa Kanye

Kim Kardashian ameuanza mwaka mpya kwa kusafisha tetesi zilizosambaa mtandaoni mwishoni mwa 2014 kuwa huenda akawa na ujauzito wa mdogo wake North. Kupitia Twitter Kim K aliandika: “Ngoja tusafishe baadhi ya tetesi kabla ya mwaka mpya …. Nimechoka kuona mtandaoni na kiukweli sijui wanayatoa wapi mambo haya!” aliendelea kwenye tweet nyingine, “hapana mimi sio mjamzito”, […]

 

10 years ago

Bongo5

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anamzimia Chris Brown, huenda akampiku Karrueche Tran

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anadaiwa kumzimikia Chris Brown. Kuanzia Kulia: Trey Songz, Kendall Jenner, Chris Brown na Kyle Jenner Model huyo mwenye miaka 19, amekuwa akionekana kwenye picha akila bata na staa huyo miezi ya hivi karibuni na anaamini kuupeleka uhusiano wao kwenye hatua ya juu zaidi. Anasemekana kufanya kila awezalo kufanikisha […]

 

9 years ago

Bongo5

Mcheza kikapu na mume wa zamani wa mdogo wake Kim Kardashian yupo hoi na hajitambui kwa kuzidisha dawa za kulevya

Mchezaji wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom anapigania maisha yake baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha cocaine kiasi cha kupatwa na kiharusi na figo zake kushindwa kufanya kazi. Lamar ni mume wa zamani wa mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe. Kufuatia habari za mchezaji huyo wa zamani wa LA Laker kuzidisha madawa ya kulevya, […]

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown azungumzia uhusiano wake na Karrueche na kuthibitisha kuwa wako pamoja na hawakuachana

Hivi karibuni Chris Brown na girlfriend wake Karrueche Tran waliripotiwa kuachana kwa muda kabla hawajarudiana tena, habari ambazo mara nyingi hua zinatolewa na vyanzo vya karibu na mastaa hao. Breezy amepata nafasi ya kusafisha kila kitu na kuthibitisha kuwa yeye na Karrueche wako vizuri licha ya kuwa walikuwa tayari wamethibitisha kwa picha mbalimbali za pamoja […]

 

10 years ago

GPL

MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA

Mdogo wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner. New York, Marekani
MDOGO wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner amevalishwa pete kisiri na mchumba wake ambaye ni rapa, Tyga. Pete aliyovishwa na mpenzi wake, Tyga. Chanzo makini kinafunguka kuwa, bidada huyo mwenye miaka 17 amekuwa na amani tele… ...

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest akanusha kuwa alizomewa jukwaani kwa kuimba diss track ya AKA

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amejibu juu ya uvumi ulioenea kuwa alizomewa jukwaani weekend iliyopita alipoimba diss track ya AKA kwenye show iliyofanyika Johannesburg. Baadhi ya mashabiki waliohudhuria show hiyo ‘Homecoming Picnic’ walidai kuwa umati ulimgeuka Cassper baada ya kutumbuiza ‘Dust2Dust’ ambayo ni diss track ya AKA, na wengine kusema kuwa baadhi ya watu […]

 

10 years ago

Bongo5

Drake amdiss Tyga kwenye mixtape mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ , Tyga amjibu

Baada ya Drake kutoa album project ya kushtukiza Alhamisi Feb.13 ambayo baadae alikuja kuthibitisha kuwa ni mixtape iitwayo “If You’re Reading This It’s Too Late” yenye jumla ya nyimbo 17, kuna wimbo ambao umeibua tena beef yake na Tyga. Katika mixtape hiyo kuna wimbo unaoitwa “6 PM in New York” ambao Drake amemdiss Tyga na […]

 

9 years ago

Bongo5

Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams

Kuliibuka uvumi kuwa rapper Drake amemchumbia mcheza tennis mahiri Serena Williams ambaye inaaminika kuwa wanauhusiano licha ya kuwa wao binafsi hawajathibitisha. Baada ya taarifa hiyo kusambaa mtandaoni jana, mwakilishi wa Drake aliiambia TMZ kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. Jarida la OK liliandika story Alhamisi hii kuwa Drake alimchumbia Serena walipoenda Canada nyumbani kwao Drake, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani