Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mcheza kikapu na mume wa zamani wa mdogo wake Kim Kardashian yupo hoi na hajitambui kwa kuzidisha dawa za kulevya

Mchezaji wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom anapigania maisha yake baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha cocaine kiasi cha kupatwa na kiharusi na figo zake kushindwa kufanya kazi. Lamar ni mume wa zamani wa mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe. Kufuatia habari za mchezaji huyo wa zamani wa LA Laker kuzidisha madawa ya kulevya, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tyga akanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, azungumzia diss ya Drake

Rapper wa YMCMB, Tyga amekanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner. Akiongea kwenye kipindi cha Power 105.1, The Breakfast Club jana, Tyga alidai kuwa hakuiacha familia yake kuwa na Kyle. Kabla ya hapo Amber Rose ambaye rafiki yake na mke wa zamani wa Tyga, Blac Chyna alihojiwa kwenye kipindi hicho pia […]

 

10 years ago

Bongo5

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anamzimia Chris Brown, huenda akampiku Karrueche Tran

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anadaiwa kumzimikia Chris Brown. Kuanzia Kulia: Trey Songz, Kendall Jenner, Chris Brown na Kyle Jenner Model huyo mwenye miaka 19, amekuwa akionekana kwenye picha akila bata na staa huyo miezi ya hivi karibuni na anaamini kuupeleka uhusiano wao kwenye hatua ya juu zaidi. Anasemekana kufanya kila awezalo kufanikisha […]

 

10 years ago

GPL

MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA

Mdogo wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner. New York, Marekani
MDOGO wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner amevalishwa pete kisiri na mchumba wake ambaye ni rapa, Tyga. Pete aliyovishwa na mpenzi wake, Tyga. Chanzo makini kinafunguka kuwa, bidada huyo mwenye miaka 17 amekuwa na amani tele… ...

 

10 years ago

GPL

KHLOE ANASA TENA KWA MCHEZA KIKAPU

Mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian. Las Vegas, Marekani
HAKUNA kulaza damu! Unaweza kusema hivyo kufuatia mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian, kupata mpenzi mpya James Harden ambaye ni mcheza kikapu wa NBA kama ilivyokuwa kwa aliyekuwa mumewe wa ndoa, Lamar Odom. Khloe alionekana akiwa na staa huyo wa Ligi ya Kikapu ya Marekani anayechezea timu ya Houston Rockets, wakiwa ‘close’ huko Las Vegas wikiendi...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North

Baada ya kudaiwa kuwa Kanye West amechukizwa na jinsi mume wa dada yake na Kim, Kourtney Kardashian, Scott Disick anavyoishi na mke wake, kuna tetesi kuwa sasa amempiga marafuku kuwa karibu na mwanae, North. Kanye West akiwa na Scott Disick Kanye West anadai hapendi tabia ya Scott Disick ya kula bata na kukesha baa wakati […]

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian ambaye ni mjamzito wanatarajia kumpokea mdogo wake na North siku ya Christmas, ambapo Kim ndio anatarajia kujifungua. Kwa mujibu wa TMZ, Kim K anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili Dec. 25. Vyanzo vya karibu vimedia kuwa couple hiyo tayari ime ‘book’ Deluxe Maternity Suite kwenye hospitali ya Cedars-Sinai […]

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani