KHLOE ANASA TENA KWA MCHEZA KIKAPU

Mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian. Las Vegas, Marekani HAKUNA kulaza damu! Unaweza kusema hivyo kufuatia mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian, kupata mpenzi mpya James Harden ambaye ni mcheza kikapu wa NBA kama ilivyokuwa kwa aliyekuwa mumewe wa ndoa, Lamar Odom. Khloe alionekana akiwa na staa huyo wa Ligi ya Kikapu ya Marekani anayechezea timu ya Houston Rockets, wakiwa ‘close’ huko Las Vegas wikiendi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo515 Oct
Mcheza kikapu na mume wa zamani wa mdogo wake Kim Kardashian yupo hoi na hajitambui kwa kuzidisha dawa za kulevya
10 years ago
GPL
WELLU ANASA MIMBA TENA!
10 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
11 years ago
GPL
SHILOLE ANASA KWA MZUNGU
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Juliana anasa kwa Mr Flavour
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, ameonekana kunasa kwenye penzi la msanii wa Nigeria, Chinedu Okoli ‘Mr Flavour’, baada ya kukutana nchini Kenya katika maonyesho ya Coke Studio.
Wasanii hao wamekutana nchini humo kwa ajili ya muziki uliokutanisha wasanii mbalimbali kutoka Afrika, ambapo wanafanya muziki kwa kushirikiana, lakini ukaribu wa Mr Flavour na Juliana umewafanya mashabiki wao kudhani kuna lingine zaidi ya muziki baina yao.
Mitandao mbalimbali nchini...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
MWAKA MBAYA KWA KHLOE
NEW YORK, MAREKANI
MDOGO wake na Kim Kardashian, Khloe, amesema mwaka huu wa 2015 unaoelekea ukingoni, umekuwa mbaya kwake kutokana na kukumbwa na majanga mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpenzi wake kuugua.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo aliandika kuwa, amepatwa na mitihani mingi lakini kubwa zaidi ni kuugua kwa mpenzi wake Lamar Odom kwa kipindi kirefu.
“Hauwezi kuwa na raha na amani kama mtu wako wa karibu yupo hospitali, nimekuwa na wakati mgumu kwa kuwa mpenzi wangu Lamar...
10 years ago
GPL
KHLOE: TUNACHAFULIWA KWA SKENDO YA UNGA
10 years ago
GPL
KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE