Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKA MBAYA KWA KHLOE

rs_1024x759-151020105518-1024.khloe-lamar4.cm.102015NEW YORK, MAREKANI

MDOGO wake na Kim Kardashian, Khloe, amesema mwaka huu wa 2015 unaoelekea ukingoni, umekuwa mbaya kwake kutokana na kukumbwa na majanga mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpenzi wake kuugua.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo aliandika kuwa, amepatwa na mitihani mingi lakini kubwa zaidi ni kuugua kwa mpenzi wake Lamar Odom kwa kipindi kirefu.

“Hauwezi kuwa na raha na amani kama mtu wako wa karibu yupo hospitali, nimekuwa na wakati mgumu kwa kuwa mpenzi wangu Lamar...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hakuna mwaka mbaya, ubaya unao mwenyewe

Jamani naona mwaka unaisha huku kila mtu akisema lake. Aliyelia kalia na aliyecheka kacheka, lakini wale wa kulalamika pia tunao. Utasikia; Oooh, mwaka haukuwa mzuri kwangu.

 

10 years ago

GPL

KHLOE: TUNACHAFULIWA KWA SKENDO YA UNGA

Host wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian. New York, Marekani
HOST wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian ameamua kufungukia skendo ya dawa za kulevya ambayo imeikumba familia yake. Awali ilidaiwa kuwa, kwenye pati waliyofanya akina Khloe yenye nia ya kuwapongeza Kendall Jenner na Kylie Jenner kwa kuhitimu masomo yao, wapo watu waliovuta madawa ya kulevya.Kufuatia madai hayo,Khloe… ...

 

10 years ago

GPL

KHLOE ANASA TENA KWA MCHEZA KIKAPU

Mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian. Las Vegas, Marekani
HAKUNA kulaza damu! Unaweza kusema hivyo kufuatia mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian, kupata mpenzi mpya James Harden ambaye ni mcheza kikapu wa NBA kama ilivyokuwa kwa aliyekuwa mumewe wa ndoa, Lamar Odom. Khloe alionekana akiwa na staa huyo wa Ligi ya Kikapu ya Marekani anayechezea timu ya Houston Rockets, wakiwa ‘close’ huko Las Vegas wikiendi...

 

9 years ago

GPL

KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE

Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian. Los Angeles, Marekani
UBUYU mpya umepenyezwa kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian, wiki iliyopita aliamua kumtelekeza aliyekuwa mumewe, Lamar Odom na kwenda kuhudhuria mechi ya NBA ambapo timu ya mpenzi wake wa sasa, James Harden, Houston Rockets ilikuwa inacheza. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani...

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo

Mdogo wake Kim Kardashian, Khloe amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza toka aliyekuwa mume wake, mcheza kikapu wa Marekani Lamar Odom kupata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocaine. Khloe ambaye amekuwa hospitali akimuangalia Lamar muda mwingi toka alipolazwa, ametumia website yake kuwashukuru mashabiki, marafiki na familia kwa support […]

 

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”

Akizungumzia mkutano huo bwana Yusuph Kileo ambaye aliongoza timu ya maandalizi ya mkutano huo alibainisha hayo na kueleza mkutano huo umekamilika salama ambapo mambo mbalimbali yalipata kujadiliwa yahusuyo ulinzi mtandao “Cyber security” na kupigilia msumari kauli mbiu ya mwaka 2014 kua ni mwaka wa vitendo.  Mwanzo wa mkutano bwana Craig Rosewarne (Mwenyekiti wa kundi linalojiuhisisha na maswala ya ulinzi mtandao (ISG) katika nchi za afrika ambaye pia ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni Wolfpack...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani