MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”
![](http://2.bp.blogspot.com/-EDeuIA4Sre8/UySxBcBSzzI/AAAAAAAFT5Y/BP88Po8hoB0/s72-c/unnamed+(17).jpg)
Akizungumzia mkutano huo bwana Yusuph Kileo ambaye aliongoza timu ya maandalizi ya mkutano huo alibainisha hayo na kueleza mkutano huo umekamilika salama ambapo mambo mbalimbali yalipata kujadiliwa yahusuyo ulinzi mtandao “Cyber security” na kupigilia msumari kauli mbiu ya mwaka 2014 kua ni mwaka wa vitendo. Mwanzo wa mkutano bwana Craig Rosewarne (Mwenyekiti wa kundi linalojiuhisisha na maswala ya ulinzi mtandao (ISG) katika nchi za afrika ambaye pia ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni Wolfpack...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Kupitia kauli mbiu ya mwaka 2015, tuangalie changamoto za sekta ya utalii na kutafuta mikakati ya kuzikabili
Ni siku chache tu zimepita, Tanzania imesheherekea siku ya utalii duniani kwa kauli mbiu “Mamilioni ya watalii ni mamilioni ya fursa” ambapo kauli mbiu hii imekuwa na lengo zuri la kuweka vipaumbele vya kimaendeleo katika sekta ya utalii Tanzania.
Tanzania, kati ya nchi za Umoja wa Mataifa, huadhimisha siku kuu hii kila tarehe 27 ya mwezi Septemba ya kila mwaka, kwa lengo kubwa la kuhamasisha uelewa juu ya sekta ya utalii na mchango wake katika jamii.
Ban Ki-moon, Katibu mkuu wa Umoja wa...
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5T5rAqwZNDw/VKPcgErb1II/AAAAAAAG6tU/ij1bYSredpE/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-X-wLbM0j1J0/U9auqzCDgbI/AAAAAAAF7eU/Au7jse6QfrU/s72-c/unnamed.jpg)
MKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU UFADHILI WA MIRADI YA MAENDELEO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN KWA MWAKA 2014/2015.
![](http://2.bp.blogspot.com/-X-wLbM0j1J0/U9auqzCDgbI/AAAAAAAF7eU/Au7jse6QfrU/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wCV-abVkL_8/U9auoPLCa6I/AAAAAAAF7eo/6vQU320ptu0/s1600/unnamed+(1).jpg)
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014, MAKAO MAKUU YA MAGEREZA, D'SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gc1eMcwTRSw/U2Nb54ZnPLI/AAAAAAAFe3I/tOs9qpcOP6c/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...