MKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU UFADHILI WA MIRADI YA MAENDELEO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN KWA MWAKA 2014/2015.
![](http://2.bp.blogspot.com/-X-wLbM0j1J0/U9auqzCDgbI/AAAAAAAF7eU/Au7jse6QfrU/s72-c/unnamed.jpg)
Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip I. Mpango (wa pili kushoto) akifungua mkutano wa majadiliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan kuhusu ufadhili wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2014/15.katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha na yaliratibiwa na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
Wajumbe kutoka Serikali ya Tanzania wakifuatilia michango mbalimbali kutoka kwa wajumbe wa mkutano huo. Miradi iliyowasilishwa ilihusisha Sekta za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKUTANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA YA JAPANI JUU YA MIRADI YA MAENDELEO
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
VijimamboTANZANIA YAELEZEA MATUMAINI YAKE KWA MKUTANO WA UFADHILI WA MAENDELEO
Na Mwandishi Maalum, New York
Mkutano wa tatu wa kimataifa kuhusu ufadhili wa maendeleo, ( FFD3) jana (jumanne) umeingia siku yake pili ambapo Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Saada Mkuya Salum alielezea matumaini ya Tanzania juu ya matokeo...
10 years ago
MichuziTANZANIA YAELEZEA MATUMAINI YAKE KWA MKUTANO WA UFADHILI WA MAENDELEO
Na Mwandishi Maalum, New YorkMkutano wa tatu wa kimataifa kuhusu ufadhili wa maendeleo, ( FFD3) jana (jumanne) umeingia siku yake pili ambapo Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Saada Mkuya Salum alielezea matumaini ya Tanzania juu ya...
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
VijimamboNYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA, ULIOANZA JANA JULAI 2, 2015, JIJINI ARUSHA.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JF5JzD-Wz3Q/U6ANCqi4ZDI/AAAAAAAFrL8/gKzcj3p8tc0/s72-c/zitto.jpg)
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jun
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10