Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kuhusu Rasilimali na Madeni

Tamko la ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kuhusu Rasilimali na Madeni

Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria namba 13 ya mwaka 1995 inataka viongozi wote wa umma kujaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni. Tamko hilo huwasilishwa Sekretariat ya Maadili ya Viongozi kabla ya mwisho wa kila mwaka. Kama nifanyavyo siku zote, nawajulisha rasmi kwamba nimetimiza matakwa hayo ya katiba na sheria kuhusu Maadili ya...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni

Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBARMHE. OMAR YUSSUF MZEE          WAZIRI WA FEDHA         

ZANZIBAR          



A. UTANGULIZI                                                                                                                                 
1.            Mheshimiwa Spika, kama ilivyo ada kwetu sisi waumini, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kutujaalia neema ya uhai na afya zilizotuwezesha kukutana hapa. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu, naomba...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani