Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamko la ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kuhusu Rasilimali na Madeni

Tamko la ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kuhusu Rasilimali na Madeni

Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria namba 13 ya mwaka 1995 inataka viongozi wote wa umma kujaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni. Tamko hilo huwasilishwa Sekretariat ya Maadili ya Viongozi kabla ya mwisho wa kila mwaka. Kama nifanyavyo siku zote, nawajulisha rasmi kwamba nimetimiza matakwa hayo ya katiba na sheria kuhusu Maadili ya...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI-ZITTO ZUBERI KABWE(KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) @ACTWazalendo

TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI  LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO

WEALTH DECLARATION FORMS FOR ZITTO ZUBERI KABWE-PARTY LEADER ACT-WAZALENDO

View this document on Scribd

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...

 

10 years ago

IPPmedia

Kigoma legislator, Zitto Zuberi Kabwe (Chadema)


IPPmedia
Kigoma legislator, Zitto Zuberi Kabwe (Chadema)
IPPmedia
Kigoma legislator Zitto Zuberi Kabwe (Chadema) has proposed introduction of digital land titles in a bid to curb persistent land conflicts in the country. Debating the annual report tabled by the Parliamentary Committee on Land, Environment and Natural ...

 

10 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: Mhe Zitto Zuberi Kabwe aaga rasmi Bunge usiku huu dodoma

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) usiku huu ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Mhe. Kabwe ametangaza kung'atuka nafasi hiyo baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu Kumruhusu kutoa kauli binafsi mara baada ya wabunge kumaliza kupitia vifungu vya sheria ya Maafa ambayo hata hivyo haikupitishwa kwa kutotimia akidi ya wabunge ambao nusu yao hawakuwepo ukumbini.Mhe Zungu alimtakia kila la heri Mbunge huyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu katiba TZ

Nchini Tanzania, hivi karibuni kulikuwa na mvutano mkubwa kule Dodoma katika Bunge maalum la Katiba, wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya.

 

11 years ago

Michuzi

MSIMAMO WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA

Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu msimamo wangu kuhusu mchakato wa Katiba.
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu Zilizoboreshwa (S3z) ili kuwa na Muungano imara usio tegemezi wala egemezi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani