Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakuna mwaka mbaya, ubaya unao mwenyewe

Jamani naona mwaka unaisha huku kila mtu akisema lake. Aliyelia kalia na aliyecheka kacheka, lakini wale wa kulalamika pia tunao. Utasikia; Oooh, mwaka haukuwa mzuri kwangu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Hakuna ubaya Wazanzibari kushtakiwa Tanzania Bara’

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetetea utaratibu wa watuhumiwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka katika Mahakama za Tanzania Bara wakiwamo Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

MWAJUMA : Hakuna kazi mbaya duniani

Nikiwa kwenye tamasha la kupinga mimba za utotoni, lililofanyika katika ukumbi mmoja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (Duce, nashuhudia msichana mmoja akicheza kwa umahiri wa hali ya juu.

 

10 years ago

GPL

SOLOMON MKUBWA KUPAMBA TAMASHA LA HAKUNA MWANAMKE MBAYA

Mwanamuziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa. Stori: Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa anatarajiwa kulipamba tamasha kubwa la Hakuna Mwanamke Mbaya litakalofanyika kesho Jumapili katika Kanisa la Lutherani, Mabibo-External jijini Dar. Akizungumza na mtandao huu, katibu wa Chama cha Waimba Injili nchini, Stella Joel, alisema lengo la tamasha hilo ni kuzindua wimbo wake wa Hakuna Mwanamke...

 

9 years ago

Mtanzania

Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya

octoMSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.

Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.

Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.

 

9 years ago

Mtanzania

MWAKA MBAYA KWA KHLOE

rs_1024x759-151020105518-1024.khloe-lamar4.cm.102015NEW YORK, MAREKANI

MDOGO wake na Kim Kardashian, Khloe, amesema mwaka huu wa 2015 unaoelekea ukingoni, umekuwa mbaya kwake kutokana na kukumbwa na majanga mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpenzi wake kuugua.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo aliandika kuwa, amepatwa na mitihani mingi lakini kubwa zaidi ni kuugua kwa mpenzi wake Lamar Odom kwa kipindi kirefu.

“Hauwezi kuwa na raha na amani kama mtu wako wa karibu yupo hospitali, nimekuwa na wakati mgumu kwa kuwa mpenzi wangu Lamar...

 

9 years ago

Global Publishers

Mumeo aende masaji wakati ujuzi unao?

couple-happy-in-bed-comp-680x380SHANGINGI leo niwape hi, nimejisikia kuchanganya na kizungu kidogo kwa sababu mada inahitaji hivyo, si unajua mambo ya masaji hayo ni ya wenzetu, zamani usingesikia bibi kaenda jumba la masaji!

Mada itawafundisha jinsi ya kumlea mume pale anapolalamikia maumivu ya mwili; wanawake tumekuwa na tabia kwamba mumeo akikwambia anajisikia vibaya, unakimbilia kumwambia aende hospitali au unakwenda kumnunulia panadol apunguze maumivu…tunakosea kabisa.

Daktari, nesi au tabibu ni wewe mwenyewe shoga...

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unao uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo. Iwapo wewe ni miongoni mwa watu wenye fikra hizi, jiulize kama unaweza kuishi bila kuongea na watu, Je huwa haitokei ukamweleza mtu au watu mawazo ambayo ungependelea wayaelewe na kuafikiana na wewe.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYA BIASHARA JIJINI MBEYA WAENDELEA KUJIVUNIA UHODARI WA MAKUFULI YAO KATIKA MGOMO UNAO ENDELEA NCHINI

 Taswira mbalimbali zikionyesha hali ya kufungwa kwa maduka jijini Mbeya kufuatia mgomo wa wafanya biashara unaoendelea nchi nzima.eneo lote la Soko la Mwanjelwa kimyaaaamitaa yote kufuli tuuu.wafanya biashala wakiwa wameketi nje ya maduka yao.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani