SOLOMON MKUBWA KUPAMBA TAMASHA LA HAKUNA MWANAMKE MBAYA
![](http://api.ning.com:80/files/aDRZat70esFSU0p0NfNwJpeIhow5P7Fq9G-QcD1zu71R-wFJYDsKSv7ZL9P6xJPwIp4Hj*kngKs-vOXVrE*vGO31lynV7h44/mukubwa.jpg?width=650)
Mwanamuziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa. Stori: Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa anatarajiwa kulipamba tamasha kubwa la Hakuna Mwanamke Mbaya litakalofanyika kesho Jumapili katika Kanisa la Lutherani, Mabibo-External jijini Dar. Akizungumza na mtandao huu, katibu wa Chama cha Waimba Injili nchini, Stella Joel, alisema lengo la tamasha hilo ni kuzindua wimbo wake wa Hakuna Mwanamke...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Mkenya aalikwa kupamba tamasha la shukurani
MWIMBAJI wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya, B4C, anatarajiwa kunogesha tamasha la shukurani lililopewa jina la ‘Get Together Part 2014 Season II’ linalotarajiwa kufanyika Ukumbi wa Word Alive Sinza...
10 years ago
Dewji Blog07 Jul
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Fid Q, Ben Pol kupamba tamasha Iringa
WASANII wa Bongo wanaofanya poa katika muziki wa kizazi kipya, Mfalme wa hip hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’, Mfalme wa Rnb, Ben Paul na mshindi wa tuzo tatu za Kilimanjaro...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Mama wa mitindo Asia Idarous kupamba siku ya Mwanamke Duniani Zanzibar Machi 22
..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarab
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Machi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa litakalowakutanisha Wanawake mbalimbali na kusheherekea siku ya Mwanamke Dunia, ndani ya ukumbi wa Bwawani Hoteli.
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo ...
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Vyuo 33 kanda ya Kati na Dar kupamba Tamasha la Elimu
Mratibu wa Tamasha la NACTE INTER COLLEGE TANZANIA 2014/2015, Bi, Magreth Kilawe,(kati), akifafanua kwa waandishi wa habari, kuhusiana na Tamasha la Vyuo vya Elimu ya Kati na Vilivyopata Usajili wa NACTE, mikoa yote ya Tanzania kwa kushirikisha michezo mbali mbali. Kushoto ni Mwakilishi wa Serikali za Wanafunzi na Mshauri wa Chuo cha C.B.E-Dar es salaam, Mr. Stephano na Afisa Uhusiano wa Miss Demokrasia Tanzania, Bi, Rosina Mchomvu.
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya vyuo 33 vya Elimu ya Kati,...
9 years ago
Mwananchi16 Aug
MWAJUMA : Hakuna kazi mbaya duniani
10 years ago
MichuziKlabu 12 za soka za maveterani kupamba Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym
Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...
9 years ago
VijimamboSARAH K KUPAMBA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU TANZANIA