Klabu 12 za soka za maveterani kupamba Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym
KLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym, itakayofanyika Septemba 6 kwenye uwanja wa Mwenge, Dar es Salaam.
Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTamasha la Miaka 16 ya Home Gym kufanyika Septemba 6, 2014 uwanja wa mwenge, Dar es salaam
9 years ago
MichuziHOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA
Washiriki wakiwa katika Jogging.
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Bonanza la kituo cha Mazoezi cha Home Gym kusheherekea miaka 17, kufanyika leo Escape One
Mkufunzi wa mazoezi ya viungo akitoa mazoezi hayo kwa watu mbalimbali walijitokeza kwenye mazoezi ya viungo ilikuimalisha afya ya mwili. (Picha ya Maktaba kwa hisani ya PT Blog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Bonanza la maalum la kutimiza miaka 17 ya toka kuanzishwa kwa kituo cha michezo cha Home Gym, chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, linatalajia kuanza mapema asubuhi ya leo pale Mlimani City-Mwenge na kuishia Escape One ambapo kutakuwa na...
9 years ago
Michuzi16 Sep
ZAIDI YA WATU 500 WANATARAJIWA KUSHIRIKI KATIKA BONANZA LA KUSHEREKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA KITUO CHA MAZOEZI CHA HOME GYM
Andrew Mangomango ni mkurugenzi wa kityuo hicho ametanabaisha kuwa maandalizi yote yamekamalika na kusema kuwa miongoni mwa watu watakaoshiriki katika bonanza hilo ni pamoja na vikundi vya Joging vya jijini DSM, vutio vya gym na yeyote atakayehitaji...
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19
Kituo cha Mazoezi cha Home Gym…
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.
Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hZC-IKAOeig/VLO66B1c-dI/AAAAAAAG82s/TI1eEykzItY/s72-c/2.jpg)
klabu za michezo za maveterani zarehemu marehemu leo (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-hZC-IKAOeig/VLO66B1c-dI/AAAAAAAG82s/TI1eEykzItY/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BpGrqYQGCts/VLO7AEe27lI/AAAAAAAG83g/ojBLRBZlcr4/s1600/9.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-EnWsWR3qId8/VLO61Rgea7I/AAAAAAAG82I/4TU3F4FStK4/s1600/10.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SvKI_8oz9dY/VK7_6kEykrI/AAAAAAAG8Hw/RBaqxu0QCFk/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Mkenya aalikwa kupamba tamasha la shukurani
MWIMBAJI wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya, B4C, anatarajiwa kunogesha tamasha la shukurani lililopewa jina la ‘Get Together Part 2014 Season II’ linalotarajiwa kufanyika Ukumbi wa Word Alive Sinza...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Fid Q, Ben Pol kupamba tamasha Iringa
WASANII wa Bongo wanaofanya poa katika muziki wa kizazi kipya, Mfalme wa hip hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’, Mfalme wa Rnb, Ben Paul na mshindi wa tuzo tatu za Kilimanjaro...