Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym kufanyika Septemba 6, 2014 uwanja wa mwenge, Dar es salaam

KLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym, itakayofanyika Septemba 6 kwenye uwanja wa Mwenge, Dar es Salaam.Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA

 Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa ajili ya afya ya mwili na akili ambapo kituo hicho kimetimiza miaka 17 tangu kuanzishwa, mbio hizo zilianzia Mlimani City na kuishia ufukwe wa Escape One. (Picha na Francis Dande)  Washiriki wakiwa katika Jogging.

 Washiriki wakiwa katika Jogging.Wanachama wa kituo cha mazoezi ya viungo cha Home...

 

10 years ago

Michuzi

Klabu 12 za soka za maveterani kupamba Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym

KLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym, itakayofanyika Septemba 6 kwenye uwanja wa Mwenge, Dar es Salaam.
Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba), Michael Kadinde (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu Tamasha la 33 la taasisi hiyo litakalofanyika kuanzia Septemba 22 hadi 28 mwaka huu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil na Mkuu wa Mafunzo, Gabriel Kiiza.Dotto Mwaibale
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33  lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Bonanza la kituo cha Mazoezi cha Home Gym kusheherekea miaka 17, kufanyika leo Escape One

110Mkufunzi wa mazoezi ya viungo akitoa mazoezi hayo kwa watu mbalimbali walijitokeza kwenye mazoezi ya viungo ilikuimalisha afya ya mwili. (Picha ya Maktaba kwa hisani ya PT Blog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Bonanza la maalum  la kutimiza miaka 17 ya toka kuanzishwa kwa kituo cha michezo cha Home Gym, chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, linatalajia kuanza mapema asubuhi ya leo pale Mlimani City-Mwenge na kuishia Escape One ambapo kutakuwa na...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO‏

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), Michael Kadinde.  Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil.…

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo....

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014 KUFANYIKA NANENANE UWANJA WA TAIFA DAR

Baadhi ya matukio katika Tamasha la Usiku wa Matumaini mwaka 2013 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete. (PICHA ZOTE NA MAKTABA)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani