TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba), Michael Kadinde (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu Tamasha la 33 la taasisi hiyo litakalofanyika kuanzia Septemba 22 hadi 28 mwaka huu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil na Mkuu wa Mafunzo, Gabriel Kiiza.Dotto Mwaibale
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33 lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 21-27, 2015 WILAYANI BAGAMOYO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7SoSD7S8qio/UwuNPXCw0aI/AAAAAAAFPRQ/szJ5e9woZYQ/s72-c/unnamed+(2).jpg)
Kumekucha! Maandalizi ya Tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Septemba 2014 yaanza mapemaaaa!
![](http://1.bp.blogspot.com/-7SoSD7S8qio/UwuNPXCw0aI/AAAAAAAFPRQ/szJ5e9woZYQ/s1600/unnamed+(2).jpg)
Na Andrew Chale, Bagamoyo
TAMASHA la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo kwa mwaka huu (2014) litakuwa la 33, ambapo linatarajia kulindima kwa siku saba, kuanzia Septemba 22 hadi 28, kwenye viunga vya Chuo cha Sanaa Bagamoyo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uGyfaVYssAQ/UwuNPmarSKI/AAAAAAAFPRY/H2hZsSb4PEQ/s1600/unnamed+(3).jpg)
Tamasha hilo la 33, mwaka huu, lenye kauli mbiu, “Sanaa na Utamaduni katika kukuza Utalii”, limekuwa msaada mkubwa kwa wasanii na vikundi mbali mbali kujitangaza kitaifa na kimataifa pamoja na kutoa fursa za kibishara katika kipindi chote cha...
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/26.jpg)
9 years ago
GPLTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO
9 years ago
MichuziTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO MKOANI PWANI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h7TIJo5fj3Q/Vd2LGxLMEhI/AAAAAAAH0Io/PoHhNgG57Ic/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ASBGby2UUhE/U1-eYaQ85ZI/AAAAAAAAV0U/rSPnhq8mUnc/s72-c/945988442748510035_tangazo_html_mb1ecfee.png)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa) THE 33RD BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE 22 — 28 SEPTEMBER, 2014 CALL FOR ARTISTS
![](http://3.bp.blogspot.com/-ASBGby2UUhE/U1-eYaQ85ZI/AAAAAAAAV0U/rSPnhq8mUnc/s640/945988442748510035_tangazo_html_mb1ecfee.png)
We would like to invite you (individual artist/groups) to apply for the participation and performance in the 33th Bagamoyo International Festival of Arts and Culture which will take place at the institute (TaSUBa - Bagamoyo) from 22 - 28 September 2014.
The aim of this festival is to support and expose activities of the artists, encourage cooperation and friendship of both local and international artists, promote mutual cultural exchange, share experiences
and give the...