TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO
Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27, 2015 katika Kumbi na Viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), mkoani Pwani. Kulia ni Katibu wa Tamasha hilo na Ofisa Biashara, Benjamini Malimbali na Ofisa Habari, Sophia Mtakajimbo. Hapa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO MKOANI PWANI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 21-27, 2015 WILAYANI BAGAMOYO
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/26.jpg)
10 years ago
MichuziTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33 lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...
11 years ago
Michuzi26 Jun
10 years ago
GPLTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
TaSUBa watambulisha rasmi Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)
TAASISI...
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kuanza rasmi leo
Ratiba Ya Ufunguzi Wa Tamasha 2015 by andrewchale