Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO KUANZA SEPTEMBA 21-27


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba), Michael Kadinde (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu Tamasha la 33 la taasisi hiyo litakalofanyika kuanzia Septemba 22 hadi 28 mwaka huu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil na Mkuu wa Mafunzo, Gabriel Kiiza.Dotto Mwaibale
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33  lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO‏

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), Michael Kadinde.  Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil.…

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 21-27, 2015 WILAYANI BAGAMOYO

 Mwenyekiti wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kwa mara ya 34 kuanzia tarehe 21-27 Septemba katika ukumbi na viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambao ndio wenyeji na waandaaji wa tamasha hilo kongwe Tanzania. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maonyesho ya tamasha hilo, Christa Komba na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi na...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA 33 LA TASUBA KUANZA 22 SEPTEMBA BAGAMOYO

Mwenyekiti wa tamasha la kimataifa la sanaa na utamaduni, Abraham Bura (kulia),  Kaimu Mkuu wa Idara ya Taaluma, Gabriel Kiiza, Mkuu wa Chuo, Michael Kadinda, na Afisa Habari, Sophia Mtakasimba.…

 

11 years ago

Michuzi

Kumekucha! Maandalizi ya Tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Septemba 2014 yaanza mapemaaaa!


Na Andrew Chale, Bagamoyo 
TAMASHA la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo kwa mwaka huu (2014) litakuwa la 33, ambapo linatarajia kulindima kwa siku saba, kuanzia Septemba 22 hadi 28, kwenye viunga vya Chuo cha Sanaa Bagamoyo. 
 Tamasha hilo la 33, mwaka huu, lenye kauli mbiu, “Sanaa na Utamaduni katika kukuza Utalii”, limekuwa msaada mkubwa kwa wasanii na vikundi mbali mbali kujitangaza kitaifa na kimataifa pamoja na kutoa fursa za kibishara katika kipindi chote cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kuanza rasmi leo

festival

 

Ratiba Ya Ufunguzi Wa Tamasha 2015 by andrewchale

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo

Jumatatu ya Septemba 22, Tamasha la 33 la Sanaa la Bagamoyo litaanza, likiratibiwa na Chuo cha Sanaa cha Bagamoyo, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha vipaji walivyozalisha kwa mwaka huu, lakini pia ni msimu wa burudani na furaha kwa wakazi wa Bagamoyo na vitongoji vyake.

 

9 years ago

Mtanzania

Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo

BONGO FLEVANA FESTO POLEA

TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.

Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani