Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo
NA FESTO POLEA
TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.
Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h7TIJo5fj3Q/Vd2LGxLMEhI/AAAAAAAH0Io/PoHhNgG57Ic/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gH7eSDc9r-w/VCROYu9m0MI/AAAAAAAGlzI/WP4egFUiDMw/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Tamasha la Sanaa Bagamoyo latinga siku ya pili
WAKATI Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo likiwa limeanza jana kwa maandamano ya kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Bagamoyo, leo wadau mbalimbali wa sanaa wanapata mafunzo ya kupinga rushwa yanayoratibiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Katika warsha hiyo pia mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali, maofisa kutoka ofisi mbalimbali na wizara mbalimbali wamealikwa ili kupata mafunzo hayo yatakayosaidia kupinga na kukabiliana na rushwa hasa...
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ratiba ya maonyesho -Tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2015!
Tamasha la 34 la Sanaa za Maonyesho na Utamaduni Bagamoyo…
Sehemu ya umati wa watu wanaojitokeza kushuhudia tamasha hilo…
RATIBA YA TAMASHA – PROGRAM.pdf
11 years ago
Michuzi26 Jun
10 years ago
MichuziTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33 lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
TaSUBa watambulisha rasmi Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)
TAASISI...